Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
du...mkuu huwa unakaa karibu kushuhudia wife anapopika...Vitunguu havifai wakiwa wanavikata mpaka wewe ulie karibu unatokwa machozi.
Jamaa katisha
Si unajua tena, kuna wakati unaenda kumtania tania jikonidu...mkuu huwa unakaa karibu kushuhudia wife anapopika...
Si unajua tena, kuna wakati unaenda kumtania tania jikoni