New economics book-Get your Copy

ALPHA2012

Member
May 9, 2012
12
8
Screenshot_2016-05-27-16-21-40.png

Screenshot_2016-05-27-16-16-54.png

Kwa wanafunzi wa Kidato cha 5 wa sasa na wale wanaotarajia kuanza kidato cha 5 mwezi Julia, 2016, Kitabu kipya cha somo la ECONOMICS kimetoka kwa paper 1.

Kinafuata Syllabus mpya ya mwaka 2009. Unaweza kupata nakala yako kutoka kwa Mwandishi Alphonce Francis Kamisa kwa kupiga au Ku SMS namba 0712 682 475
 
Weka picha tena hazionekani.

Anyway hongera kwa kuchapisha kitabu. Cha uchumi.

Maaana kuna tatizo saana LA vitabu vya uchumi hususan vilivyo andaliwa na local authors
 
View attachment 351530

View attachment 351531
Kwa wanafunzi wa Kidato cha 5 wa sasa na wale wanaotarajia kuanza kidato cha 5 mwezi Julia, 2016, Kitabu kipya cha somo la ECONOMICS kimetoka kwa paper 1.

Kinafuata Syllabus mpya ya mwaka 2009. Unaweza kupata nakala yako kutoka kwa Mwandishi Alphonce Francis Kamisa kwa kupiga au Ku SMS namba 0712 682 475
Hongera Mchumi mwenzangu. Mimi nitakutafuta tu, maana vitabu vya Economics vipo vichache sana, hasa vile vilivyoandikwa na wazalendo wenzetu.
 
Back
Top Bottom