Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,619
- 20,947
Real new one.
🤣🤣🤣🤣🤣 ila wabongo wanawaza lini rais aseme mapumziko ya taifa ila washinde wanamwagana mikojoHuko duniani watu hawalali yaani wanaumiza vichwa ni jinsi gani watengeneze hela
Wabongo kwa mkojo huwaambii kitu🤣🤣🤣🤣🤣 ila wabongo wanawaza lini rais aseme mapumziko ya taifa ila washinde wanamwagana mikojo
Nadhani wanashika rank #1 Afrika masharikiWabongo kwa mkojo huwaambii kitu
Kwahiyo natembea nacho kwenye pochi au nakipachika hapo kwenye nanii
Ujue nimewaza sana sijapata jibu
Ukikipachika unatembeaje sasa? Haki umenichekesha!!!