Hao mastar sina uhakika na makazi yao rasmi, ninachojua wanamiliki investment katika miji tofauti India, na huko kote wanaonekana. Kuhusu Ujenzi, hao wahindi achana nao. Wako vizuri. Mpaka mwaka 2015, New Delhi ilikuwa na jengo la ghorofa 78 na halipo katika top 3 ya majengo marefu ya India.