New Delhi: Tembea ujionee

Hapana. Mi nimeenda 2010.
OK..basi ungeishi kidogo uwajuwe.kwanza nyumba ya muhindi ni marufuku kuchinja...ukitaka kuchinja uchinje sokoni..ukichinja unafukuzwa siku hiyo hiyo.....Na FRIDAY ni siku maalum kwa mashoga yanapita mitaani yanaomba sadaka..kila duka uliyaona?MAAJABU mengine ng'ombe JIKE ni MUNGU...ila ng,ombe DUME ndy kama FUSO ZAO...anabebeshwa mzigo zaidi ya PICK UP..Mara nyingi nishashuhudia ng,ombe anaanguka na kufa huku akiwa na tani za mzigo....ushafika tajmahal mkuu?
 
Mkuu uko vizuri aisee.
 


Hata mimi ilinikuta hii mwaka juzi. Tulikuwa kama limebaki lisaa hivi tutue Kuala Lumpur (Malaysia)....wadada niliokaa nao walikuwa wanaongea kihindi huku wakitabasamu wenyewe kwa wenyewe na kuniangalia. Mimi kwa nyege zangu nilihisi wamedata kwangu, nikauchuna ili wajigonge nami niopoe maana nilikuwa nakaa pale Malaysia kwa siku 3, so kama ningepata mchemsho wa kihindi ingekuwa poa kwa hizo siku 3. Nilipomaliza kujaza zile forms za immigration, naona mdada mmoja anakuja huku akitabasamu na kuongea kihindi kwangu akiomba nimsaidie kujaza zile forms. Alikuwa hajuwi English nami nilikuwa sijuwi kihindi, tukasaidiana tu hivyo hivyo na nyege zangu zikaishia hapo.
 
Yaa mkuu..ukiwafata kwao... Utawadharau sana mkuu...tena walikuwa kama umeishi kwao ni heshima na adabu..now nipo madagasca mkuu...nitakupa na visa vyao..tembea uone mkuu
 
Yaa mkuu..ukiwafata kwao... Utawadharau sana mkuu...tena walikuwa kama umeishi kwao ni heshima na adabu..now nipo madagasca mkuu...nitakupa na visa vyao..tembea uone mkuu
Wakijuwa kama umeishi kwao India.. watakuheshimu mkuu..ushaona barabara zinafungwa usiku na watu wanalala?yote India yapo hayo
 
 
Wengi wao hata waliosoma kingereza bado ni shida, pia wengi wana inferiority complex hasa wanapokutana na mtu ambae ni mgeni hasa maofisini.
 
Wengi wao hata waliosoma kingereza bado ni shida, pia wengi wana inferiority complex hasa wanapokutana na mtu ambae ni mgeni hasa maofisini.
Yaa wale English wanasoma kama sisi watanzania....na hata hao wahindi wenyewe kwa wenyewe pia lugha hawaelewani....ili waelewane inabidi waongee GUJERATI...ndiyo lugha yao ya KUWAKUTANISHA.. kama sisi tunavyoongea bongo KISWAHILI... kuna wasukuma..wanyamwezi.wachaga...wadigo... MAKABILA KIBAO... Na kila kabila na lugha Yake kwa hiyo inabidi tuongee KISWAHILI ndy tuelewane..basi hata hao WAHINDI...wapo makabila zaidi ya 100 na yote yana lugha ZAO..mfano Tamil..na Hindu ndy makabila makubwa ambayo yana hadi BRODCAST ZA LUGHA ZAO.MFANO TV..NA RADIO...na hata MOVIES ZAO..hizo picha tunazoziona sn za akina AMITABACHAN..na akina sharukan ni from Bollywood.. Na kama ushawachunguza wahindi wapo tofauti hata rangi na tamaduni ZAO..mfano..wale wahindi weusi waliopo ktk chuo cha st Joseph of engineering ni wa kutoka BANGALORE..ambao wanaongea Tamil..sio Hindu na wanakuwa WEUSI..tii..na ajabu hata hao weusi ukikutana nao PIA wanakucheka..India yote kwa ujumla ilikuwa inaitwa HINDUSTAN maana yake UHINDINI
 
Taj Mahal.
Indian gate.
Rad Fort
Indira Gandhi Memorial
Akshardham temple
Qutub Minar
Agra Fort
Raj Ghat

Markets: Palika Bazaar, Nehru place, Karol Bag, n.k.
 
Nehru Place. Soko kubwa kabisa kuliko yote New Delhi, nchini India linalojihusisha na uchuuzi wa vifaa vyote vya IT hususani Hardware! Soko huwa linadorora Jumapili, lakini siku zingine liko busy kupitiliza, sifa yake kubwa ni kwamba hakuna kifaa cha IT, used au new, unaweza kukosa sokoni hapa! Kutembelea soko hili, wengi hutumia Delhi Metro na kituo cha kushukia kinaitwa Nehru Place Metro Station!
 

Attachments

  • Nehru Place.jpg
    62.7 KB · Views: 78
Wakuu, inachukua muda gani kusafiri kwa ndege hadi Chandigarh, India?

Nauli yake shs. ngapi? Ndege zipi zinaenda huko?

Kuna ubaguzi mkubwa huko?
 
Wakuu, inachukua muda gani kusafiri kwa ndege hadi Chandigarh, India?

Nauli yake shs. ngapi? Ndege zipi zinaenda huko?

Kuna ubaguzi mkubwa huko?
Scholarship imetiki nini? Joking. Ethiopia Airline. Etihad Airways. Emirates. Wastani 15hrs.
 

Mtoa mada akiwa ktk picha ya pamoja na Mh Balozi wa India ktk kilele cha sherehe za ITEC DSM 23 February 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…