NEW COMER

ALCOHOLIC

Member
Oct 6, 2018
24
17
HELLO
As my user name described its same same with the real person
It is my hope we will get in touch very easly

nawasilisha..
 
Karibu ila uwe makin tu na jf
Kuna watu wamejiunga jf wakiwa matajiri hatimae jf ikawafanya masikin

Kuna watu pia wamejiunga jf ni wazima wa afya hatimae jf ikawafanya waathirika

So its all in ur hand
 
kwann usingetumia kiingereza tupu?? au pombe imekolea??
ila karibu
Hata kiingireza chenyewe alichotumia sio kinyoofu kisarufi na kimpangilio halafu kimepinda/kina makengeza.Ndio tatizo la kujifanya too much know while nothing known at all!!@fundi bishoo huyu si mjomba wako mdogo?Mwambie aache ngebe za lugha iliyokuja na majahazi!!!
 
Hata kiswahili chetu sio kinyoofu mkuu
 
HELLO
As my user name described its same same with the real person
It is my hope we will get in touch very easly

nawasilisha..
Karibu sana, ila huku sio kama Facebook, huku ni wachoyo sana wa likes, unaweza kuposti michango yako kwa mwezi mzima ukapata likes mbili tu au usipate kabisa
 
Hata kiingireza chenyewe alichotumia sio kinyoofu kisarufi na kimpangilio halafu kimepinda/kina makengeza.Ndio tatizo la kujifanya too much know while nothing known at all!!@fundi bishoo huyu si mjomba wako mdogo?Mwambie aache ngebe za lugha iliyokuja na majahazi!!!
hahahaha ntamuambia aache mkuu
 
Sawa kiongozi,ila hawa VIJANA/Vibishololo wanaoota ndevu/wanao balehe waache broken language iliyokuja na mashua,waachie wakongwe wanaojua kuitafuna na kuibinua hasa

Napenda kuongea lugha nyingi no matter nikikosea as long as unanielewa
I HOPE U GOT THE POINT
 
Back
Top Bottom