Wakubwa mimi ni member mpya humu nahitaji ushirikiano wenu kwa sababu mumekuwa mkinishawishi mambo mengi sana na kunifunza na kunipa experiencce mbalimbali ahsanteniii
Karibu sana hapa ndani. Fanya na furahia yote ya burudani, mapenzi, elimu etc, usisahau kushiriki Siasa ambayo inakuamulia vile maisha yako na vizazi vyako yatakuwa. Usiwe CHAWA
Alafu Shem wa dunia. juzi juzi tu hapa kuna member mmoja alinitumia picha za wadada wanne wa JF. Kawataja na majina. Na wadada wawili kati yao wako naked (ila sio naked ile ya nude) ila wanaonekana sura na kawataja na majina.