mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,572
Hapo umeshinda mkuu nyny ni nyooko pande hzo..ha ha hahaha
naenda wiki ijayoHapo umeshinda mkuu nyny ni nyooko pande hzo..
vp umeshaenda au mda bado
[HASHTAG]#Freemaxencemelo[/HASHTAG]
Haya mm mke mwenzio / wifi ako nishamsafirisha acha vidume tubaki mjini angalau tubadilishe mandhari khaa,,,naenda wiki ijayo
ha hahaha we mbaya me naenda nae nimeamua kubana mwaka huu..Haya mm mke mwenzio / wifi ako nishamsafirisha acha vidume tubaki mjini angalau tubadilishe mandhari khaa,,,
Wapo wengi tu.Hv kuna mfanyakazi wa tbl mwenye mwili mdogo???
Amekubali au ndo ivo bibi kasema nae anakubali kichwa kichwa ??ha hahaha we mbaya me naenda nae nimeamua kubana mwaka huu..
MmmhhhWapo wengi tu.
AmekubaliAmekubali au ndo ivo bibi kasema nae anakubali kichwa kichwa ??
Nayy ni wa hukohuko?Amekubali
Hapana ni huko nyanda za juu kusiniNayy ni wa hukohuko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbna kama mm huyo?[emoji121] [emoji121] [emoji121]Hapana ni huko nyanda za juu kusini
Mmh we ni mngoni?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbna kama mm huyo?[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Tanga na ngoni.Mmh we ni mngoni?
Ngoni mluguruTanga na ngoni.
Ok huko cjakaa wala hata kwenda coz ni kwa mama ila kwa baba bi mbondei tanga mapenzi yalipo na hayatakaa yaondoke..Ngoni mluguru