New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Our new Holy Father will be announced shortly. :yo:

the father anae waweka katika utumwa wa kifikra zaidi ya 1.2 biilion waumini...wasio ruhusiwa kufikiri zaidi ya father kupitia mapadiri.......
 
huyo papa mpya atakua ni mtoto wa ngapi wa mungu maana tunasikua kuna baadhi ya waungu wamezaa ingawa hatuambiwi ni lini alifunga ndoa au kungurumisha mashine hata katika nyumba ndogo!

utakuwa na mashetani, siyo bure! Tatizo mnapenda kuzungumza hata msiyo yafahamu.
 
Haya haya jaman tumsifu yesu kristooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
he will be known as PAPA FRANCIS
ni muagentina
 
Duh...! Mpaka sasa bilabila, hata tetesi......watu viroho juu.
Kuna tetesi zinasambaa kwa kasi zinadai ni Kadinali Pengo.

Wabongo tujipange kukata rufaa kisheria wakituchakachua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…