New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Andrew, hii umeiandika mwenyewe au umedesa toka vyanzo fulani? Kama umeandika ni wewe, Wewe ni nani katika uongozi wa kanisa katoliki mpaka utuambie kuwa wenzio walivyokuwa wanamwelekea Peter Turkson wewe ulikuwa unamwelekea mwingine? . Kama hiyo ni picha yako ni vema ukapumnzika kuliko kuanzisha usiyoweza kuyamaliza. Dunia ya leo watu wengi sana wanamacho na wanaona na hata huyu Papa mpya tutamuona
 
Andrew hivi mshua ulikuwa unamshushia nondo kama hizi? I gather he was a devout Catholic, the daily mass attending type.

Alisemaje kama ulimshushia?

Weweee!! Aaaah wapi!!! Mwl unamjua unamsikia! Andrew aanzie wapi kwanza kama hazijatembea bakora za kufa mtu!!
 
Huyu kaka...atakuwa na dini isiyo ya kawaida..mabandiko yako huwa yananiogopesha hata kusoma
 

simon peter was no pope.
 
Dstv bana yaani mvua kidogo tu net inakata
 
Hivi wassira hajamuwakilisha rais kweli..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…