Watu hawatazami!hata huyo Mama aliyehojiwa ni mke wa mtu,tena ni bibi wa miaka 77...ktk jamii za Watu wa latin Amerika miaka 12 mwanaume na mwanamke kuwekeana ahadi za ndoa ni kawaida,wakati Papa akiwa na miaka 76,huyo mwanamke ana miaka 77...wametofautiana mwaka mmoja!!Padre ni msingi wa vyeo vingine ktk kanisa kama Askofu,Cardinal au Papa...Padre haibuki,ni tunda la familia..anazaliwa na kukua ktk mazingira ambayo watoto wengne wanakua...anapita ktk michakato yote..mpaka anapoamua kuyakana ya dunia na kumfuasa Kristo......katika hayo mengi mwandish alitakiwa kuongeza haya...."Wakati makadinal wengine ktk maeneo yao ya huduma huish ktk majumba ya kifahari,huyu alikaa ktk Apartment ya vyumba viwili akiwa na rafiki yake kilema,akipika na kujifulia nguo mwenyewe,hutumia usafiri wa umma kwenda ofisini kwake,apatapo safari kwenda Vatikan hukaa ktk hotel ya kawaida,wakati wenzake wakivaa misalaba ya dhahabu yeye ana "wooden cross",cassock yake si maridadi na yenye ghalama,hata alipokuwa papa hakupanda gari la kipapa..alipanda gari na makadinal wenzake wa zaman kurudi St.Peters,na wakati wa kumpongeza hakuruhusu waje mmojammoja,bali yeye aliwafuata na kuwapa mkono mahali pao...juzi alifuata mizigo yake ktk hotel aliyofkia na kulipa bili mwenyewe...amewambia watu wa Argentina ktk umasikin wao wasihangaike kuja Roma ktk misa kuu ya kuanza utume,kwan safar n ghalama sana..atatafuta wasaa wa kwenda kuwashukuru kwa kumlea!Na amewambia wasifurah yeye kuwa Papa toka Argentna,bali wamuombee mana mzgo alokabidhiwa ni mkubwa"...haya ndo mengi ya Pope Francis,ambao wengine wanajichanganya na kumwita Pope Francis I....Ni Papa wa 265 japo wapo wanaosema ni wa 266...This is another Theological Battle