New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Hivi huyu papa na mtu Muhammad nani ana afadhali?! Mtume alioa mtoto wa miaka nane na akaoa mzee mzima kikongwe!! Sisi hatusemi ila nyie ndio mnaona huyu anamakosa!!
 
Akitokea kadinali SHOGA ( kawa yule aliye jiuzuru nchini Scotland ) atampa adhabu gani?
 
Kitoabu kwani alipotaka kuona binti wa miaka 12 yeye unajua alikuwa na miaka mingapi? Na kama ni ndoa za miaka 12 mbona zimeshamiri sana Uarabuni na Bara Asia nzima. Na sheria za kusema watoto wa chini ya miaka 18 wasiolewe unajua ziliwekwa lini?
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu papa na mtu Muhammad nani ana afadhali?! Mtume alioa mtoto wa miaka nane na akaoa mzee mzima kikongwe!! Sisi hatusemi ila nyie ndio mnaona huyu anamakosa!!

Kwa hiyo ngoma draw au?,
 
Papa alicheza mduara !

Huyo ndiyo Papa bwana,si umeona alivyopata media coverage na vyombo vya habari vyote ulimwenguni.Nyie maimamu wenu wakitangazwa basi ujue inshu ya ugaidi,uchochezi,fujo au kuchoma makanisa.Sijui kama umenielewa maalimu.
 
kwani we unajua Mama yako aliolewa na Baba yako akiwa ana miaka mingapi?Na unajua kabla ya hapo alikuwa na mwanaume gani?
Labda utusaidie wewe maswali hayo mamaako aliolewa akiwa na umri wa miaka mingapi? Kesha wahi kufumaniwa marangapi?
 
Hivi huyu papa na mtume Muhammad nani ana afadhali?! Mtume alioa mtoto wa miaka nane na akaoa mzee mzima kikongwe!! Sisi hatusemi ila nyie ndio mnaona huyu anamakosa!!
Nilijua lazima hili bandiko litatufikisha huku!! Jadilini hoja iliyoko mezani jamani. Kuna "Mengi Mapya" yameibuka kwenye maisha ya Papa Francis (Siyo Papa Francis I)?
 
Usiji tosheleze kwanini wakati tunaamini kuwa wingi unaanzia na mbili? Nakuusu "jipya" ndio jipya kwa mtumishi wa yesu kama yule. Isinge kua ajabu kama habari hizo zingimuusu mtu asie kiongozi wa dini kama yeye.
 
Kichwa cha habari na content haviendani kabisa!
 

Alivyoiandika sivyo ulivyo tafsiri,ameandika kwa maana ya kudhalilisha zaidi kuliko kutoa taarifa ndio maana waponda maandishi yake.Uzuri Huya Papa hajakataa wala kukanusha ameelezea ukweli wa maisha yake hivyo alivyoandika amekosea,angeandika namna ambavyo mhusika mkuu amejielezea.Na kunukuu maneno ya muhusika mkuu.Kuwa baunsa au kucheza dansi siyo dhambi.
 
Labda utusaidie wewe maswali hayo mamaako aliolewa akiwa na umri wa miaka mingapi? Kesha wahi kufumaniwa marangapi?

Miaka 20,muadilifu na mtiifu kwa mumewe aliyekuwa na miaka 25 wakati wakioana!sasa Mama ni miaka 75 wakati Baba alishatangulia mbele za haki akiwa na miaka 86!Wamama wa nyakati hizo si kama wadada mnaoa ninyi vijana!Wale walitunza miili yao na kuheshmu waume zao!Ndo mana tuliwafanyia Jubilee ya miaka 50 ya Ndoa wakiwa wamoja na wenye kupendana sana
 
Usiji tosheleze kwanini wakati tunaamini kuwa wingi unaanzia na mbili? Nakuusu "jipya" ndio jipya kwa mtumishi wa yesu kama yule. Isinge kua ajabu kama habari hizo zingimuusu mtu asie kiongozi wa dini kama yeye.

Sasa hapo kuna jipya gani??may be hujui Historia ya kanisa na watakatifu baadhi walivyoishi..Tukianzia kwa petro alikuwa mvuvi ,God knows mengine kabla hajarudi kundini..Tukija kwa Paulo ndo kabisaa alikuwa muuaji lkn akatubu..Sasa hilo jipya kwa huyu papa lipo wapi?
 
Lakini mbona mtume wa wasilamu alioa kabisa? tena katoto ka miaka 8 na hamsemi?
Ha ha haa! Wanamuangalia Papa kipekee kuliko hata mtume wao! Kuna mchungaji mmoja aliwahi kuuliza, hivi kama mtume angekuwa ameyafanya hayo sasa hivi, mahakama ingempa adhabu gani? Watu: kunyongwaaaaaa!
 
Kitoabu kama nyumba ilishawahi kukaliwa haiwezi kuwa mpya, mpya ni kile kisichokuwepo kabla, kutumika kabla, kujulikana kabla, kufahamika kabla, kuonekana kabla, lakini kama hoja hizi tayari zilishaandikwa mwaka 1986 upya wake ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Ninavyowajua mabaunsa, mh!:

Wanapenda pombe za bure/offer,
wanapenda videmu vidogodogo,
ugomvi ukitokea ndo wa kwanza kuingia mifukoni kwa wateja kujipatia riziki,
n.k n.k n.k

huenda papa hizi sifa alikua nazo? Zikawa tabia? Akaendelea kuwa nazo hadi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…