William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Kaka sijaelewa vizuri nini hasa unahitaji! Suppose nasema Mwigulu awe waziri wa Habari, itasaidia nini?Je hili linaweza kubadili baraza la mawaziri na kumfanya atengue uteuzi wake?Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-
- I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba Baraza jipya ni wale wale tu na kwamba kwa nini Rais ameenda nje ya Bunge kutafuta mawaziri watatu wapya.
- Sasa hebu Great Thinkers tuongee solutions, tupange baraza ambalo lingefaa kutokana na Wabunge tulionao sasa, tuwataje kwa majina na nafasi ambazo wangefaa sana kuliko wale walioteuliwa karibuni na Rais. Ndio njia pekee tunaweza kusaidia watawala kuelewa walipokosea, kuliko kulia lia bila kuwapatia solutions, for once tuanze kujifunza kuwa part of solutions badala ya kuwa part of the problem kwa kulia lia bila kusema what are solutions!
MUNGU AIBARIKIE TANZANIA!
William John Samwel Malecela.
Kaka sijaelewa vizuri nini hasa unahitaji! Suppose nasema Mwigulu awe waziri wa Habari, itasaidia nini?Je hili linaweza kubadili baraza la mawaziri na kumfanya atengue uteuzi wake?
Mkuu nimependa wazo la mdau kwamba, usiwe na hofu baraza jipya 2015, pia elewa kwamba tatizo si nani awe nani tatizo ni mfumo kaka!Mi sidhani kama kuna haka ya kujadili hoja hii, ni mtazamo wangu!
Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-
- I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba Baraza jipya ni wale wale tu na kwamba kwa nini Rais ameenda nje ya Bunge kutafuta mawaziri watatu wapya.
- Sasa hebu Great Thinkers tuongee solutions, tupange baraza ambalo lingefaa kutokana na Wabunge tulionao sasa, tuwataje kwa majina na nafasi ambazo wangefaa sana kuliko wale walioteuliwa karibuni na Rais. Ndio njia pekee tunaweza kusaidia watawala kuelewa walipokosea, kuliko kulia lia bila kuwapatia solutions, for once tuanze kujifunza kuwa part of solutions badala ya kuwa part of the problem kwa kulia lia bila kusema what are solutions!
MUNGU AIBARIKIE TANZANIA!
.
Wewe mchango wako ni nini !? Au tufanye wewe haumo ! Blai mbona unatuchora !- Hapana atleast tutawaonyesha watawala kwamba we have an idea ya kwa nini tunawakosoa na baraza jipya, kwa mfano tuwaambie kama sio Pinda, nani kwa sasa anafaa kuliko yeye na amefanya nini hapo alipo cha kutufanya tuseme anafaa kuliko Pinda, ni ombi tu since tumeshambulia sana baraza jipya!
- Kwamba itasaidia nini? Then we need to close this JF's shop, kwani tunasaidia nini hapa anyways inaonyesha ni dalili ya kukata sana tamaa mkuu wangu, tusichoke Roma haikujengwa siku moja!
William.
Reshuffle imefanyinka last Friday, hili baraza litakaloundwa hapa JF ni la nini? What difference would it make?
NB: kwenye red, too much 'I mean' hata sehemu ambazo hazistahili.
Wewe mchango wako ni nini !? Au tufanye wewe haumo ! Blai mbona unatuchora !
Reshuffle imefanyinka last Friday, hili baraza litakaloundwa hapa JF ni la nini? What difference would it make?
- Hapana atleast tutawaonyesha watawala kwamba we have an idea ya kwa nini tunawakosoa na baraza jipya, kwa mfano tuwaambie kama sio Pinda, nani kwa sasa anafaa kuliko yeye na amefanya nini hapo alipo cha kutufanya tuseme anafaa kuliko Pinda, ni ombi tu since tumeshambulia sana baraza jipya!
- Kwamba itasaidia nini? Then we need to close this JF's shop, kwani tunasaidia nini hapa anyways inaonyesha ni dalili ya kukata sana tamaa mkuu wangu, tusichoke Roma haikujengwa siku moja!
William.
- ha! ha! ha! ha! ha! hii imenivunja mbavu sana mkuu wangu! ha! ha! ha! ha!