Hapo kwenye RED, nathani ili ufanikiwe katika shughuri yoyote una budi kujifunza kwa waliofanikiwa na kuchukua hamasa toka kwao, je ni lipi atakupa aliyeshindwa? na je ni biashara gani duniani ambayo hakuna aliyewai kufanya akashindwa na wakati huo huo wengine wanafanikiwa kwa sana tu?
Chukulia mfano jirani unakoishi, je ni wangapi walianzisha maduka wakashindwa, wakayafunga na wangapi wameanzisha na wanaendelea mpaka sasa kwa mafanikio makubwa? je shuleni ni wangapi uliokuwa nao primary, sekondari, a level au chuo na walishindwa na pengine wewe umeweza?
je uliangalia walioshindwa au malengo yako ukitiwa hamasa na waliofanikiwa?
I think we should learn to see things, especially those we think they are new to us in different perspective, that's what I think, hakuna shughuri yoyote duniani yenye kufanikiwa tuuu au kushinndwa tuuu, hakuna, hata kama ni Urais, wapo wanaofanikiwa na kuweka historia na kuwa mifano na wapo mabogasi pia, je tujifunze kwa yupi?
Good day.