new building materiarls

new building materiarls

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
579791_4422691331726_88849560_n.jpg
 
Plastic house!!!hapo moto ukikamata ni balaa!Jamaa ni mbunifu,ni wapi mkuu?
 
Itabidi asipike humo dani wala kuwasha chochoteee!!!!Na alikuwa na kazi ya kuzikusanya hizo chupa kha...
 
Safi sana kanyumba kazuri kwa kupumzikia baada ya kazi na shughuli za kutwa nzima; humo ndani kuna kitanda, kameza kadogo, viti na baadhi ya nguo. HAKUNA SUFURIA WALA KIKOMBE, NA HAKUNA UMEME hapo ni mwendo wa taa ya kuchaji mzabzab hii nyumba itakufaa
 
Last edited by a moderator:
shukrani kwa timu nzima ya adobe ps kwa kuendelea kuwezesha watu qwengine kufanya wenzao vichaa.
 
Siajabu nyumba moja ikishika moto kijiji kizima kinateketea!!

Nyumba za kijijini kwetu haziko kama zile za Tandale,ambazo kila mtu kajenga barazi kwa mwenzie,kwetu kila mtu anajenga kwenye shamba lake.
 
Nyumba za kijijini kwetu haziko kama zile za Tandale,ambazo kila mtu kajenga barazi kwa mwenzie,kwetu kila mtu anajenga kwenye shamba lake.
Unafanya masikhara na moto+nyasi+upepo=disaster
Hivi kwani msitu mzima unapowaka moto inakuwaje?
 
Unafanya masikhara na moto+nyasi+upepo=disaster
Hivi kwani msitu mzima unapowaka moto inakuwaje?

Mkuu inaonekana wewe ni m,bishi simchezo hivi umemuelewa anamaanisha nin? Kuna vijiji vingine kutoka nyumba moja kwenda nyingine unafunga safari sasa fikiria mtu ana shamba heka 10 kajenga ktkt huo moto utafika vp kwa jiran?
 
Sijabisha nasema kile ninachokifikiria ..nimeuliza kwani msitu mzima ukiwaka moto inakuwaje?
 
Unafanya masikhara na moto+nyasi+upepo=disaster
Hivi kwani msitu mzima unapowaka moto inakuwaje?

Kwetu tunajenga nyumba za nyasi na watu wanapika kwa kuni,na kuwaka kwa nyumba ni bahati mbaya sana kama inavyotekea kwenye nyumba zenu za Masaki. Halafu ukae ukijua,kwenye misitu yetu ya tropiki moto kutokea na kuendelea mpaka kuwa mkubwa ni nadra sana,ni tofauti na tunavyoona sehemu kama California,Ulaya ya kusini na Australia.
 
shukrani kwa timu nzima ya adobe ps kwa kuendelea kuwezesha watu qwengine kufanya wenzao vichaa.
Nakubaliana na wewe mkuu.
Tazama vizuri hiyo fensi, inapoanzia chupa na inapoishia hapajulikani, kitu kinachoashiria photo editing.
 
Sitaki kufa nikijiona na joto la dar likizidi hizo chupa zisije umuka!!Lakini wapo waloipendaa!!!

Hiyo inajengwa country side, unaenda kupumzika na hubby wako wikiendi au likizo... mbona utaipenda tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom