new building materiarls

new building materiarls

Dah! hiyo juu wameezeka kwa nyasi, na kuta zingekua za nyasi si balaa? ila nadhani ndani itakua na material ya kuzuia moto.
Balaa kubwa haswa maana nyumba nzima itateketea...Hizo material za kuzuia moto ni zipi utayoweka kwenye nyumba ya nyasi?Mpaka zima moto ikija kila kitu khalas...lol..Maji yenyewe ya kuzimia ukachote mile 5!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom