Hii inategemea na kizazi na nyakati... Na kila nyimbo zinatengeneza historia yake.... Nikikumbuka nyimbo za Mb doggy nakumbuka mbali sanawaje waje wadau..?
et ni muziki gani wa bongo fleva kati bongo za zamani na za sasa zinakukonga nyoyo..?
Hili neno kila zama na kitabu chake lina maana pana sana kwa sisi tulioanza kuzisikia hizo nyimbo na harakati zake tunapata ladha flan na kukumbuka zamani.Hii inategemea na kizazi na nyakati... Na kila nyimbo zinatengeneza historia yake.... Nikikumbuka nyimbo za Mb doggy nakumbuka mbali sana
Old ndio mpango mzimawaje waje wadau..?
et ni muziki gani wa bongo fleva kati bongo za zamani na za sasa zinakukonga nyoyo..?
Mchanganyiko kwa mfanoso zipi hasa zinakukonga moyo za sasa ama za long
Kitangoma kuna nyimbo kibaoMchanganyiko kwa mfano
Kibanda cha simu ya Soggy Doggy
Beatrice ya Multimedia band
Serebuka ya mwasiti
Wa leo wa kesho ya Timbulo
List ni ndefu sana
Kina Ruge wameunajisi huu mziki!!
Mkuu ongezea na nyimbo zote za jay moe maisha ya boarding n.kNa p funck wameubaka muziki wety mzuri huniambii kitu
Bongo Dar re Salam ya pr jay
Kamanda barua
Ndio mzee
Mbagara
Jamani machozi yananitoka maana tunafanya juhudi kurudi chin kwa kujitutumua kwa uongooooo