New atcl you cant compare with precission | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New atcl you cant compare with precission

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BLUE BALAA, May 28, 2012.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nachukua nafasi hii kuipongeza Management ya ATCL na Serikali kwa ujumla kufufua Shirika letu la Ndege ATCL.
  Mimi ni frequent customer wa Precission but I have never got satisfied with their service. Jana nimepanda ATCL kwa kweli nimekuwa satisfied.

  1. Bei ni nzuri sana inatofautiana na PW kwa almost 150% - I know those are introductory rates but I am sure they will shoot to 100%

  2. Chakula safi - Huwezi linganisha na yale ma sandwich ya precission wanayotoa mwaka wa tano sasa

  3. Aina ya ndege - Ni ndege mpya aina Boeng na siyo ATR wala Caravan

  4. Service - Crews are matured and not these dotcoms stuff

  Big ATCL big up Government but we need consistence
   
 2. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tangazo la biashara??????
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Sasa unasifia watu wenye ndege moja tena ya kukodisha,mimi siwaamini sana hawa ATCL kwanza kwa nini bado wanajiita ATCL badala ya ATC si ile ndoa na South Africa Arway tuliyofungishwa kijanja tulishavunja mkataba. Mimi hata kama ATCL wagawe nyati ndani ya ndege bado sina imani nao kabisa wewe endelea kusifia mi nachojua hizo ni nguvu za soda kama huamini subiri utaskia soon. Nikikosa Precision niliyozoea ntatulia kwanza mpaka hao jamaa wa ATCL niwe na imani nao unless nina haraka sana ndo ntapanda ndege yao
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sababu iyo hiyo nashangaa kwa nini shirika la reli TRC inaitwa bado TRL hali wahindi wa RITES washakimbizwa kwao.
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ile ni ATC naona kama ni changa la moto.........
   
 6. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  precision inazo Boing 2 na ni za kwao, sio za kukodi kama ATCL wanaokodisha.
  Na hizo bei ni just an 'entry strategy' maana ziko below operating costs wakati inabidi walipe deni la kukodisha ndege.

  Mimi sio kwamba nakataa kuwa mzalendo kwa kutukuza chetu lakini wasiwasi wangu ni kuwa hii ATCL ni biashara ya watu wasiojionyesha katika 'triangle ya ufisadi' na muda sio mrefu tutajua.

   
 7. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hata Precision ni ya WaTZ wenyewe,maana wamenunua hisa kwenye soko la hisa hivyo ni vema WaTZ ungeni mkono mashirika yote ili kuimarisha ushindani wa biashara.
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  well said mkuu, wabongo wakiendelea kuitosa ATC yatakuwa yale yale ya kuvitosa vyama vya upinzani wakati wa chaguzi na matokeo yake wote mnayaona kwa jinsi CCM inavyowanyanyasa wananchi.
  Tukijenga mazingira ya ushindani wa kibiashara hiyo ndio itakuwa mwanzo wa wananchi kupima na kuchagua huduma murua kuliko kuendelea kusupport shirika moja tu la Precision.
  Nchi kama ya China au Marekani karibia kila jimbo lina shirika la ndege ambapo ushindani umekuwa mkubwa kiasi cha huduma zitolewazo kuwa nzuri.
   
 9. K

  KVM JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  Hilo shirika linaloitwa ATC au ATCL kwa kweli halina sababu ya kuwepo. Sielewi kwa nini serikali au niseme viongozi wa Tanzania wanalilia sana kuwa na shirika la taifa la ndege. Hii biashara imetushinda kwa mara nyingi sana. Kazi yetu kufufua shirika hilihili wakati likiwa limekufa. Pesa tunayopoteza kulifufua shirika hili ingeweza kutatua kabisa tatizo la maji kwa mji kama wa Dar es salaam lakini tumeng'ang'ania ndege ndege ndege ndege! Kwa nini? Mwenye siri ya hiki kitu naomba anielimishe.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,433
  Trophy Points: 280
  unaringia ndege za kukodi? zingekuwa zako je?
   
 11. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  1. Kama ulivyosema mwenyewe these are just introductory rates which can not sustain the operations for long. Lets wait and see what fares they will be charging after their honeymoon.
  2. If you don't mind me asking ulikuwa unasafiri kutoka wapi kwenda wapi? how long was your journey?
  3. The last time I checked, hiyo ndege ni ya kukodi na siyo yao. As long as the ATR and Caravans provide a reliable service, the is no problem.
  4. I thought the quality of service is what is important. Can you share with us your experiences with both the "matured" and "Dotcom" crew.

  At the end of the day it is true that we can not compare the two as one is just starting off (The new ATCL) while the other one is well established. Lets give the new ATCL some time, say one year then come back and compare its performance.
   
 12. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  I think most of you guys are missing my point.
   
 13. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Jamani tuwape moyo wenzetu siyo kila kitu kibaya.Tuwape na mbinu za kuboresha huduma zao.Sio kuwa demoralize kila siku jamani
   
 14. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mnyonge mnyongeni, haki yape mpeni, Jana nimerudi na ATCL kutoka Mwanza Asubuhi, Service yao ni nzuri sana, na wanajua wanacho kifanya, Usafi, Crew Wenyewe wasafi sana, na Wana huduma nzuri sana.
   
 15. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hizo bei za utambulishi kwa lengo la kumaliza biashara ya mwenzako is a very risky strategy! Air Canada ilitaka kufa kwa mtindo huo!

  Hongera ATCL lakini angalau mmeanza kupumulia mashine huko ICU
   
 16. Rocket

  Rocket Senior Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  time ll tell wakuu
   
 17. JS

  JS JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna kitu inaitwa national carrier ambayo ikiendeshwa vyema kama kenya airways au uganda airways ndo utaelewa kwa nini serikali imekuwa ikijitahidi kufufua atc. Its a pride and a prestige to have your own national carrier bearing your precious flag in international airspaces my dear. Tuisupport jamani atc
   
 18. D

  Drake Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hiki ndio walitake wewe mtz,ukifikiri.unafikiri kwa juu la watz wangapi wanamiliki husk share,je uwepo wa PA unasaidiaje kiuchumi na kimaendeleo tz ukilinganisha kifikra Kama Atcl ingekuwa na Herzl sasa na PA?
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tusiwavunje moyo hawa wenzetu wa ATC, ni fahari kuwa na shirika letu la ndege ....
   
 20. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Air tanzania 4 life, precision n zaidi ya wezi tena matapeli na ukienda una dharula ndo utawajua kuwa ni majizi! dar mwanza dar walishafikia mpaka nauli ya 499,000. mpaka walipokuja 540 ndo wakashuka, hawana maana, na hii ofa yao mpya ya 180,000 ni kwa watu kumi tu na hauwezi kupata tiketi n danganya toto! mungu ibariki air tanzania. kampuni ya wazawa au mafisadi na majizi! nauli kubwa utadhani unaenda pakstani kumbe ni ndani ya tanzani! nimepanda sana precision mavyakula yao n yale yale miaka nenda rudi!
   
Loading...