Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,431
- 108,611
Wakuu sasa nimeamini rasmi kweli kwenye vita ya haki ushindi ni lazima, hii ni kufuatia Tamasha kubwa la Anti Virus with no apology na kufana kupita maelezo, leo kwa mara ya kwanza asubuhi hii nimesikia nyimbo za wasanii ambao walitupwa kapuni mfano hai Dudu baya nae nimesikia nyimbo zake zinapigwa leo.
Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Vinega, maana siku moja tangu wascan virus majibu ya ubora wa Anti virus nimeyaona leo, na yule kibaraka wa humu JF Nyani Ngabu anahaha kila jukwaa kuitetea redio ya wafu lakini maji yamezidi unga.