New alert: 96.8 Live Hamad Rashid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New alert: 96.8 Live Hamad Rashid

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpemba mbishi, Jan 29, 2012.

 1. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hamad Rashid na watu wake yupo Zenj Fm 96.8 muda huu.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu, Mpemba mbishi,
  Tupatie updates, plse!
   
 3. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe mpemba mbona umekimbia? Lete updates
   
 4. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimetingwa na kazi hapa siwezi kurusha kinachoendelea, nipo hapa karibu na Uwanja anapohutubia ila nipo busy sana kama vipi sikiliza Radio utampata live!
   
 5. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ndo ameenda kufanya marketing ya mkutano wake wa leo kwa Tsh. 1.5b tumeambiwa eti.
   
 6. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Busy gani tena mkutanoni bwana? Hivi Mbona mkutano umeanza mapema sana au ndo kuwahi kufuturu au?

  Vipi ule wa chadema au inakuuma sana hata huwezi kutujuza?
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sema ni station gani, maana frequency huwa zinatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine... kwa hapa Dar 96.8 nimetune hakuna station yoyote.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sema Radio gani bana... frequency hazisaidii kwa sisi ambao hatuko huko.
   
 9. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nipo ofisini hapa na nina kazi muhimu muda huu. Fungua 96.8 Zenj Fm kwa huku Zanzibar sijui huko kwenu frequency zake ni zipi?
   
 10. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Search Radio unaweza kufanikiwa kuinasa! Si umesikia katoa mapesa ili mkutano utangazwe live.
   
 11. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo Pemba, Nipo mbali na Unguja ambapo unafanyika wa CHADEMA.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Nae pia mnambagua? si mtu wenu huyo!!!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu ku search sijaipata hiyo Radio Zenj FM, kwa aliyeipata kwa hapa Dar msaada tafadhali ni frequency zipi inapatikana. Na wewe mpemba tupe updates bana ubusy gani huo?
   
 14. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wait apande jukwaani basi ntawapatia updates japo kwa uchache
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mpemba mbishi na mjanja-mjanja...!eti niko oficini...hahah
   
 16. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Doyo apanda jukwaani, atetea uamuzi wa HR kukodi watu kutoka Tngnyka,
   
 17. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aanza na historia ya cuf, azungumzia yaliyotokea 2001 znzbr, asema wakat nchi hamad rashd alikod ndege kuwapoza wapemba!
   
 18. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  naona HR kaja na masheikh kutoka Bara kila anayepanda anazungumzia uislam wa Zanzibar na kutaja 99% ya uislam wa znzbr
   
 19. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hadi sasa hakuna point iliyotolewa badala yake kila m1 anajielezea jinsi alivyoshiriki ktk harakati za chama! Ni kama vile wamekuja kulalamika kwa wapemba, tumsubiri HR apande mwenyewe
   
 20. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nawasikiliza wapambe wa HR kwenye FM 96.8 inaonekana matumizi ya uchaguzi wa igunga nayo yamechangia kufukuzwa kwa HR maana walihoji kuwa kwanini hayakulingana na kura walizopa.
   
Loading...