I like it.

Gud adv..

Bt fm6 kufeli ts just ya dectn..

Nimefundishwa vipnd 10vya geo toka fm5 histor cmjui mwalim bt stl JMC does..

Al0n na nw ts TCU time.

Cha kusikitisha kuna topic imeletwa kutoka Hist 3 ambayo ni mpya kwa wengi wa wanafunzi ila ticha anawaambia mkajisomee sasa kwa mfano Mbeya nzima hakuna shule inayofundisha Hist 3 mpaka songea girls, Lugalo Iringa na nyinginezo za mbali.

mimi ni mwalimu wa history,kwa bahat nzuri ninayo format ya necta kwa masomo yoote,maana nilienda semina,na kwakweli tatizo kubwa ni vitabu.ila NECTA wameshatoa mpaka na jinsi mtihan utakavyokuwa,watakaosoma kwa topic za zaman ni form 5 na 6 wa SAYANSI TU,,,,,,,,,kama upo dar jitahidi tuonane nikupe. Naomba msaada kwa PCM coz nltaka ku risit this 2012 ila nimegaili till 2013. Naomba sna msaada wako maana nackia kuna pepa moja ya hesabu mara hv mara vile.

weka mambo jukwbni.kila mtu anashida na hiyo kitu....so weka mambo hadharani.
acha kukuza matatizo, piga shule dogo

Japokua Format zimekuja lakini bado tatizo ni kubwa.
hawa ndiyo baadaye wanalalamika kuwa wamefelishwa. Utandawaz unacost kwa wasiojua kuutumiaKuna kila dalili kuwa mtafeli maana hamjishughulishi.Kumbukeni mchango wa mwalimu ni 40% tu ktk kuwezesha ufaulu mwanafunzi. Kama sasa mko busy na keyboard jamvini mtaperuzi saa ngapi wakati mnajua umeme nao ni wa mgao?

kaka cc ticher wa hist alikuwa anasema mwalimu, ha teach ila ana guide, na aki kuteach bas ata cheat! Akmaliza kusema hvyo anakata mbuga, ticha wa language alitususia! Ila mamisuli ma sala mwishowe tukatusua! Zingatien sana sala, sbb NECTA n mzimu ucpouendea sala una kuroga ata km ulikuwa wa kwanza tangu unaaza std1.

weka mambo jukwbni.kila mtu anashida na hiyo kitu....so weka mambo hadharani.

ni hard copy siwez weka hapa,na i cant scan

Kuna kila dalili kuwa mtafeli maana hamjishughulishi.Kumbukeni mchango wa mwalimu ni 40% tu ktk kuwezesha ufaulu mwanafunzi. Kama sasa mko busy na keyboard jamvini mtaperuzi saa ngapi wakati mnajua umeme nao ni wa mgao?

this is the revised geography of 2009 replaced by 2000 syllabus. zilizotolewa ni pamoja na regional economic intergration.na kuunganisha baadhi ili kujenga syllabus consistence-mwendelezo. zilizoondolewa mnazisoma o level so itakuwa ni repetition.new topic added ni;

the dynamic earth and consequences

water use and management

wetlands and swamps.

zilizounganishwa kuwa moja ni:

environmental issues-minning,fishing,forestry,agriculture and tourism

water pollution and conservation imewekwa kwenye water use and mngt.

\lengo ni kuwapata geographers wazuri sio wale wa kukariri vitini vya akina nyangwine na wenzake lazima msome na kusikiliza vitu vingi bahati mbaya walimu wenu kwa sasa wapo shallow walimeza vitini. TAFUTA KITABU CHA GEOGRAPHY INTERGRATED BEI SHS 74,000/= NA KINGINE CHA PRACTICAL GEGRAPHY AUTHOR PRITCHAD BEI SHS 34,000/= MWAMBIE MSHUA AKUNUNULIE HIVYO.

GENERAL OBJECTIVE IS TO ENABLE CANDIDATE 2 DEVELOP SENSE OF COMMITMENT TO PRESERVE AND UTILIZE RESOURCES AS HERITAGE 4 FUTURE GENERATION.