Never urge with children


Kwa hayo, na wewe ndiyo una haki ya kubadili argue kuwa urge?

Naam, leo nimefurahi sana kuona kuwa wewe unaihalalisha biblia kuwa "Biblia inauhalali wa kupingana na science", kitu ambacho Wakristo wanakikataa miaka yote na wanasema:

The Bible is not a science book, yet it is scientifically accurate. We are not aware of any scientific evidence that contradicts the Bible. We have listed statements on this page that are consistent with known scientific facts. Many of them were listed in the Bible hundreds or even thousands of years before being recorded elsewhere. Many concepts and notes on this page are adapted from ideas and statements that appear in The DEFENDER'S Study Bible.

Source: Science and the Bible

Hao wanaosema biblia haipingani na science wanajitaa ni "defender's" wa Biblia.

Kizungumkuti!.
 

Hayo uliyoandika ni mawazo ya mtu ambayo hata wewe unaweza andika.

Mbona hata Kolani inapingana na science kwa kusema jua huzama kwenye matope?!
 
we ni mwenda.wazimu.... huwa hukosei?

Hata mimi nna upunguani wa kibinadam na nakosea sana tu, lakini nnapojulishwa kosa na nikiona ni kweli nnamakosa nnarekebisha.

Muombe Moderator aondowe "urge" na "argue".

Kukosea huko kwako na kitu kipo mbele ya macho yako ni upunguani wa hali ya juu.
 
Last edited by a moderator:
Hayo uliyoandika ni mawazo ya mtu ambayo hata wewe unaweza andika.

Mbona hata Kolani inapingana na science kwa kusema jua huzama kwenye matope?!

Hilo swali lenu la kila siku na limeshajibiwa sana tena uzuri kabisa. Tatizo yenu hapo ni lugha.

Hayo unayosema ni mawazo ya mtu, wewe yako yepi? biblia inapingana na sayansi kama alivyokiri mwenzako au kama huyo aliyesema haipingani na sayansi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…