Kuna familia nyingine unakuta imejaaliwa mabinti say watano..na kwa kipimo cha Diamond wote ni Zari ila hakuwahi kutokea hata Harmorapa kumtaka hata mmoja wao sembuse tu kumtongoza ndo atokee Masudi mwenye sura yake ya kienyeji apeleke posa wee...unaweza kupewa zawadi ya wawili wa ziada just in case mmoja akipata pancha!