donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hahaha money talk
Hahah indeedHahaha money talk
Saana mkuupesa inaleta heshima
Naona picha na emoji tu, mwenye tafsiri ya kiswahili ya kichwa cha habari na hayo maneno anipe tafadhali
Daah poaShughulika na kiingereza chako mkuu.
Daah poa
hahahaa ferrari nnHicho ndicho nilichowafanyia Ferrari mpaka leo hawatakuja nisahau
Kumbe ni wewe?Hicho ndicho nilichowafanyia Ferrari mpaka leo hawatakuja nisahau
ME naziangaliaga hizi videos huwa zinaniacha hoiKuna siku nilikuwa natazama interview ya mcheza soka wa zamani wa Southampton Jame Beattie. Huyu jamaa siku moja mitaa ya London aliona showroom ya Porsche. Akajongea kuuliza bei ya Porsche 911, salesman akamwambia you cant afford it, nafikiri bei ilikuwa kama £120,000. Mshahara usiozidi wiki mbili kwa huyu mcheza soka.
Basi jamaa akaenda kitongoji kingine akanunua same car, akarudi nalo kwenye ile showroom akamuita yule salesman akamuonesha dole la kati akasepa! Hapo salesman kashapoteza commission ya kama £10,000!
Hahahahaha sasa hiyo itakua ya karne mkuuNi sawa na kwenda kuposa sehemu,mwenye binti akudharau kwamba wewe si muoaji kwa hasira unaamu kuwalipia posa mabinti wote wanne wa familia pamoja na mama yao!