Never sit on a plastic chair NAKED!

Never sit on a plastic chair NAKED!

Daah! japo tunasemaga ajali kazini, ila hatuna budi kuufuata ushauri huu aisee
 
Sure mshana jr yu have made ma day. Ukute sasa ulikuwa unaiba vya watu na hapo mliamua kujipumzisha first round ili mengine yafuate. Imagine huyo aliyeshika visu ni mwenye nacho
Hahahah, Utasmulia maisha yako yote kitakacho kupata huo wakati
 
Yaani hata yeye mwenyewe angekuhurumia tu. Angalia hiyo gololi karibu ipasuke. Nadhani kama jamaa alikuwa anataka kutoroka basi ameilaani siku hilo wazo la kukimbia lilipomjia. Nadhani siku nyingine hataangalia uchu
 
M
Sure mshana jr yu have made ma day. Ukute sasa ulikuwa unaiba vya watu na hapo mliamua kujipumzisha first round ili mengine yafuate. Imagine huyo aliyeshika visu ni mwenye nacho
Mtagawana point, ataongeza shimo muhimu kwenye kiti kisha amwombe mwenzie ampishe kidogo ETI anamazungumzo ya faragha na ww
 
Yaani hata yeye mwenyewe angekuhurumia tu. Angalia hiyo gololi karibu ipasuke. Nadhani kama jamaa alikuwa anataka kutoroka basi ameilaani siku hilo wazo la kukimbia lilipomjia. Nadhani siku nyingine hataangalia uchu
Hahahah, hii kitu imenikumbusha siku moja kipindi nikiwa bado mwana harakati wa wizi wa mali za watu. Siku hiyo nilichoropoka na kwenda nae lodge fulani hv, wakat tunavuka ka_mtaro kanako tenganisha lodge & barabara ili tuingie lodge mguu wangu mmoja ukaingia kwenye madude ya zege yaliyowekwa juu ya hako ka-mtaro ili kuvukia na yalikuwa space-space kila baada ya dude moja la zege.

E bhana eeh, mambo yote yaliharibikia hapo na tukio hilo lilijaza watu kinoma, ikabidi mpango wote uishie hapo. Daah!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom