Never share your feeling with woman, never

Kuna mtu kapigwa tukio hapa.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…tukio tuu usikute kunamtu kagaragara kama kambale kabisaaa hii siyo kawaida mbona tulikuwa tunaenda vizuri tuu.
 
Sinaga huruma nao
 
Mwanaume kutililika kabisa kufunguka emotion feelings zako kwa mwanamke unapotea pa kubwa jikaze, pitia kwa juu usifunguke kabisa ukatoa ya moyoni utajuta kwanin ulisema, unatoa la moyoni ili kusaidiwa lakini mwanamke hutumia kukuwinda utajuta sana.
au kumwambia siri mwanamke
 
Kimbilia kwangu mama!..
 
Kweli kabisa.
 
vipi umewahi kuonesha emotions zako yakatokea haya uliyoyaeleza?
 
Hapa unaongelea mke au demu, kuna kama ni mke wako ni ngumu kumficha ku a wanawake wako smart sana kumsoma mme wake ! Issue ni rahisi kama ni demu wa kuzugia!

Ukiwa Mme utajua
 
Sio kweli kwani kuonyesha hisia kwa mtu unaye mpenda ni udhaifu? Kama ni dhaifu ni dhaifu tu no matter unaficha au unaweka wazi. Unaweza mpenda mtu na bado ukawa strong na misimamo yako
 
Sio kweli kwani kuonyesha hisia kwa mtu unaye mpenda ni udhaifu? Kama ni dhaifu ni dhaifu tu no matter unaficha au unaweka wazi. Unaweza mpenda mtu na bado ukawa strong na misimamo yako
Popote ulipo kula πŸ€›πŸ€›πŸ€›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…