Never share your feeling with woman, never

Tatizo wanawake wana manipulate wanaume sana,wanawake ni mabingwa wa mind game wanakuharibu akili kabisa wanakutesa kwa maneno na vitendo, inawezekana jamii inatazama kupigwa kwa wanAwake kama moja ya ukatili ndano ya ndoa na wanashindwa kuelewa hiyo ni response tu ya ukatili ambao wanaume wanafanyiwa, bora mtu akupige kisha aondoke kuliko kuchezewa akili na mwanamke hii kitu inaumiza sana.
Sinaga huruma nao
 
Mwanaume kutililika kabisa kufunguka emotion feelings zako kwa mwanamke unapotea pa kubwa jikaze, pitia kwa juu usifunguke kabisa ukatoa ya moyoni utajuta kwanin ulisema, unatoa la moyoni ili kusaidiwa lakini mwanamke hutumia kukuwinda utajuta sana.
au kumwambia siri mwanamke
 
Wanawake tunatabu kha!!sijui tukimbilie kwa nani jamani.msitufanyie hivyo...😢😢

Kitu kidogo mwanamke,vikapanda vikashuka mwanamke,sijui nin mwanamke,wapenda hela wanawake🙆‍♀️🙆‍♀️Siku nyingine mtuambie na mazuri yetu jamani.....🙁🙁🙁
Kimbilia kwangu mama!..
 
Hata siku moja ukiwa kama mwanaume usije kuthubutu ku open up kwa mwanamke na kuonesha your soft side your emotional side, sababu mwanamke akigundua your insecurity akigundua your soft side, umempatia silaha ya kukuumiza nayo maishani atatumia hiyo kuharibu maisha yako, atatumia hiyo kukuangusha, atatumia hiyo kukufanya ujione you are not man enough.

Jambo moja unapaswa kutambua mwanamke anapenda strong man masculine man, lakini wanahitaji soft men kwa ajili ya kuwa control siku zote wanawake wanapenda wanaume ambao ni desirable wanaume hao ni strong man, tatizo la strong man ni wagumu kuwapata na hata ukiwapata ni vigumu kuwa control.

Strong man ni desirable moja ya weekness zao au tabia zao ni kutokuwa controlable, maisha ya mwanamke na strong man, hayana guarantee kabisa, moja ya technique wanazotumia wanawake ni kumtafuta strong man, kisha kumharibu kumtesa ki akili kisha kumtawala, wanafanya hivi hili ku establish koloni lao kuhakikisha kwamba wewe hautoki kamwe na kwamba hautoweza kumuacha.

Kitu kimoja wanawake wanashindwa kuelewa baada ya wao kufanikiwa kumtawala mwanaume wanapoteza ule mvuto ambao mwanzo walimuona nao, hivyo akitokea another strong man mwanamke anavutiwa naye na anahamia kwake na mzunguko huo unaendelea tena.

Ukiwa kama mwanaume na unapatwa na shida na some feelings bora hata upeleke kwa mama yako au ukalilie kwa mwanaume mwenzio, ukijiloga kumchukulia mwanamke kama mfariji wako kama mshauri wako katika maswala ya emotion na feelings unampatia mwanamke mkuki wa kukuchoma nao never show weekness to a woman, she will use it agains you, huu ni moja ya mzigo wanaume wanapaswa kubeba wenyewe.
Kweli kabisa.
 
vipi umewahi kuonesha emotions zako yakatokea haya uliyoyaeleza?
 
Hapa unaongelea mke au demu, kuna kama ni mke wako ni ngumu kumficha ku a wanawake wako smart sana kumsoma mme wake ! Issue ni rahisi kama ni demu wa kuzugia!

Ukiwa Mme utajua
 
Sio kweli kwani kuonyesha hisia kwa mtu unaye mpenda ni udhaifu? Kama ni dhaifu ni dhaifu tu no matter unaficha au unaweka wazi. Unaweza mpenda mtu na bado ukawa strong na misimamo yako
 
Back
Top Bottom