Never share your feeling with woman, never

Danganyaneni tu. Lakini watu wanaopendana huwa wazi kwa wenza wao. Hata uwe na miguvu kama mcheza mieleka ukirudi kwa umpendaye unakua calm. Mkeo/mumeo ndio mtu pekee anayeweza kujua madhaifu yako
 
Wanawake tunatabu kha!!sijui tukimbilie kwa nani jamani.msitufanyie hivyo...

Kitu kidogo mwanamke,vikapanda vikashuka mwanamke,sijui nin mwanamke,wapenda hela wanawakeSiku nyingine mtuambie na mazuri yetu jamani.....
images%20(7).jpg
 
Kuna ukweli flani hivi but uzuri siku hizi kuna gesi, mkaa, koleo etc.....ukishindwa softly muache aende
 
n
Kuna Movie moja hivi ya ki China (nimesahau jina) niliwahi kuangalia zamani kidogo. Kuna mahali kijana mmoja alikua anataka kuoa kwaiyo akamuomba babu yake ampe ushauri kuhusu wanawake. Babu yake akamwambia;

"Show her you care, but never let her know how much you love her"

Leo nimeona huu uzi nikakumbuka hayo maneno ya kwenye ile Movie (Ilikua na subtitle) .

Mwanaume unatakiwa umjali mwanamke wako, mahitaji yake umtimizie lakini kamwe usije ukamuonesha unampenda kiasi gani! Yeye ndio anatakiwa akukadirie jinsi unavyompenda lakini asiwe na uhakika ni kwa kiasi gani. Namna bora ya kufanya hivi ni kujitahidi sana kuonekana neutral linapotokea jambo lolote linalogusa hisia zako kwa nguvu. Sio kisa tu umemuona dame wako amesimamishwa na mjamaa njiani, unaenda kuleta ugomvi nyumbani bila kujali walikua wanaongea nini. In fact, issue kama hizi unatakiwa kufuta tu mdomo kama haujaona vile, sijui kama unanielewa vizuri...!!

Mwanamke ataku.challenge sana kwenye vitu vingi ili tu akuone unavyo.react achukue point.. lakini wewe unatakiwa kumfanya aone kama kila kitu kwako wewe ni KAWAIDA tu. Akipatwa na tatizo, mfariji na sio kulia lia tena kama yeye. Mshirikishe mambo ambayo unaona anaweza akawa na msaada nayo tu, potezea mambo ambayo unajua hawezi kukusaidia chochote. Na hata akitishia kukuacha au akakuuliza kitu cha kukutega, usi.panick, fanya ajue tu kuwa hakuna kitu kitakachokutokea ambacho utashindwa kukabiliana nacho. Yes, that is a Sign of a Real Strength!

Ukiwa na mindset ya namna hiyo kama mwanaume, mambo mengi sana utayamudu sio tu kwenye mahusiano, lakini hata kwenye nyadhifa mbalimbali katika maisha. Hata ukitaka kuwa mfanyabiashara mzuri au kiongozi mzuri mahali popote pale, jaribu sana kukaa mbali na emotional decisions. Maamuzi ya hisia ni alama ya udhaifu!

La Mwisho, sio kila mwanaume anaweza kumudu changamoto zake zote za maisha peke yake. Na sio kila mwanamke ana tabia ya kutumia matatizo ya mwanaume kama silaha ya kumtawala. Kikubwa ni kujifahamu wewe na wanaokuzunguka. Kama umejaliwa kuwa na watu sahihi wenye msaada na nia njema kwako sio mbaya ukiwashirikisha mambo yaliyokuzidi uwezo wakusaidie hata kama ni wanawake. Just make sure unashare madhaifu yako + feelings zako na watu sahihi : )



Ni hayo tu.
#laskaboza
NOTED MWAMBA
 
kuna kitu wanabodi mtakubaliana na mimi kuwa wanawake walio wengi ni washirikina,walozi,na waabudu miungu kama kuchukua mafuta na maji ya upako,vitu hivi ndo vinavyowafanya wawe na ujasiri na kujiamini kwamba wana uwezo wa kuwageuza wanaume watakavyo.Waulize waganga wa kienyeji idadi ya wanaokwenda kwa siku kwao ni ipi?Mungu atusaidie wanaume tuna wakati mgumu sana tena sana.Vifo vya mapema ni vyetu,jera ni zetu,mahakamani na polisi ndo usiseme,kulishwa vitu vya ajabu ndo usiseme.
 
kuna kitu wanabodi mtakubaliana na mimi kuwa wanawake walio wengi ni washirikina,walozi,na waabudu miungu kama kuchukua mafuta na maji ya upako,vitu hivi ndo vinavyowafanya wawe na ujasiri na kujiamini kwamba wana uwezo wa kuwageuza wanaume watakavyo.Waulize waganga wa kienyeji idadi ya wanaokwenda kwa siku kwao ni ipi?Mungu atusaidie wanaume tuna wakati mgumu sana tena sana.Vifo vya mapema ni vyetu,jera ni zetu,mahakamani na polisi ndo usiseme,kulishwa vitu vya ajabu ndo usiseme.
kuna uzi mmoja ulikuwa unahusu mambo haya nkiuona ntakutag jombaa
 
Mwanzoni nilikuwaga hivyo,but now i dont care...
Akileta ujinga siku hizi za Uchebe zinamuhusu
Mleta mada hajamaanisha mambo ya kupiga wanawake. By the way being a strong man doesn't mean beating your wife; It means ability to handle and control your emotions, ability to withstand and absorb shocks. Hata huko kumpiga mkeo kunaonesha how weak and insecure you are. Become a strong man bro, usiwe dhaifu. Mwanaume strong ni mwanaume wa kati na kati, is a family man, he is a provider and chief comforter of his family during turbulence
 
Miez 6 baada ya kuoa nikatakiwa kusepa kwa masomo kwa scholarship ya maana, si mbali kiasi cha kushindwa kurudi home kila nikipenda, ebana eeeh nlipigwa bit sio la nchi hii na mtoto kisu ninaempenda chagua nenda shule au ndoa huku mavyeti ya ndoa yakiwa yamemwagwa chini mbele ya mama mkwe! Nikasema hawa hawanajui mtoto wa mkulima mim, niache scholarship, na salary inabaki vilevile eti kisa mke, nikawaambia, hata kama mama yangu angekuwa anazikwa leo ningeondoka, ndugu wangemaliza msiba! Kwa sasa yeye ndio anafurahia maisha kuliko mim, hujisemea tu, yan wew ukishika lako mbishi sana! Never ever kuwa mnyonge kwa mwanamke, utateseka sana, na wenyew hawapendi mwanaume dhaifu na anaepelekeshwa kamwe, usishangae Shish huyoo kwa UCHEBE again

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Msikilize mkeo lkn kuwa na Msimamo, kuamini hisia na maamuzi yako baada ya kutafakari hoja kinzani zinazotoka kwake. Pia usidharau ushauri au maoni ya mke, siku zote tafakari uangalie faida na hasara kisha chukua njia yenye faida bila kujali ni pendekezo lake au lako. Mwanaume imara ni yule anayetumia ubongo wake vizuri na sio hisia na asiye legelege kwenye maamuzi yake
 
Back
Top Bottom