Never push changes on Friday

Huwa sielewi mtu unawezaje kupandisha changes bila ya ku runtest, kila nikitaka kujaribu ku deploy hata kwenye staging environment roho huwa nahisi kuna ki sauti kinaniuliza kwako local ina run fresh??!!
Hii kitu nilipitia miaka ya nyuma kidogo sio miaka hii,kama nina uhakika na nilichokiandika wala hata siwazi chochote
 
Hii kitu nilipitia miaka ya nyuma kidogo sio miaka hii,kama nina uhakika na nilichokiandika wala hata siwazi chochote
Hatari sana kufanya kazi kwa mazoea. Mwaka juzi Kuna minor change ilipandishwa kimazoea na β€˜expart’ kwenye kampuni moja kubwa ya simu hapa nchini matokeo yake ilileta hasara ya billions kadhaa upande wa huduma zao za kifedha, ilidumu kama masaa 12 tu ila hasara yake ilikua nzito sana.
 
Huyu hakuwa expert πŸ˜‚, kuna jamaa angu mwingine alienda kufanya kile kilichodhaniwa kuwa ni "small 🀏CSS tweak" aka-push mzigo chap,baada ya masaa kadhaa anapigiwa simu checkout button haionekani
 
Huwa sielewi mtu unawezaje kupandisha changes bila ya ku runtest, kila nikitaka kujaribu ku deploy hata kwenye staging environment roho huwa nahisi kuna ki sauti kinaniuliza kwako local ina run fresh??!!
Mambo ya RFC, Request for Change
Inayotakiwa kupitia Change Advisory Board (CAB) upate blessing zote....
Yakibuma, unakuwa una nafuu ya kujitetea.....
Au huku watu wanapandisha tu, na maombi na sala kibao....
 
Developers wa bongo mmegundua nini cha maana?

Hamna tofauti na wamiliki wa vibanda vya kuchoma cd na kupiga window wanaojiita ma IT.

Kenge weusi nyie
 
VPN ndio imekuchongea huo mu IP?

No more results found for 10.345.236.00
Tumia NMAP kuidukua..... πŸ˜‚
Hii hapa mimi niliipata ya TEKU ,
Hapa wataalamu wanaingia mpaka ndani kubadilisha matokeo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…