Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,491
- 100,885
Dah hakika ashukuriwe Mungu atupaye kushinda na zaidi ya kushinda! God has always a plan for our future! Kuna nyakati waweza kuona kama Mungu amekutupa vile kumbe ndio kwanza anakujengea uzio wa mema. Nimeguswa sana