Never been in love?

Never been in love?

^^
Real love grows slowly, dont invest too much energy finding love, it will cost your emotios!
Once you have it, then you can add efforts, remember Love is a plant..it needs to grow or else it dies!
^^

likes likes likes... Nimeipenda hii
 
mtazamo wangu mimi itakuwa ametumia neno Love tofauti na maana yake au ameshindwa kuelewa love exactly inamaanisha nini nikiwa na maanisha amechanganya maana ya neno love na like sababu iyo imekuwa ni common mistake kwa watumiaji wengi wa iyo lugha
 
moreover u cant like something and not being in to it and there is no love if you a not into that thing cjui nimeeleweka
 
Sidhani kama kuna true love, au labda haijawai kunitokea
 
Habari za saa hizi wanajukwaa wa MMU,

Hivi kuna uwezekano mwanaume mwenye umri ulozidi miaka 30 awe hajawahi kupenda?Kwa uelewa wangu hata yale mapenzi ya utotoni ni mapenzi pia ijapokuwa hayachukuliwi serious na hayapewi uzito kama ya ukubwani….
Kuna tofauti gani ya kumwambia mtu nakupenda lakini sijafall kwako?Huyo mtu utakuwa unampenda vipi kama rafiki tu au kama ndugu?

Karibuni
Cc Eli79 Mkoroshokigoli xiexie The Boss Himidini Blue G Vaislay Ennie badiebey Isumbwile siafu dume BAK farkhina Ablessed Blessed Heaven on Earth Nyani Ngabu ICHANA na wengineo

It is impossible for someone to reach that age without falling in luv, ila explaining about the way someone loves is a complicated thing.
 
Love is a myth....BIG LIE actually...tena kwa dunia tunayoishi saivi ndo kabisaaa,sometime people are together just because it's convenient...
Labda waje wanaoamini waseme hapa,ila mi hadi saivi siamini habari za true love and the like..

Cc: lara 1 ...she needs a lecture!:cool2:
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nile chabo kwa mbali na kwa raha zangu, enhe ....
 
Hivi kuna uwezekano mwanaume mwenye umri ulozidi miaka 30 awe hajawahi kupenda ? rafiki yangu gorgeousmimi kwa suala la hapo juu penye bolded words naweza sema inawezekana sana tu rafiki,unajua katika mambo haya ya mapenzi kuna crushes na true love feelings,kihalisi karibia kila mtu amewahi kuwa na crush na mara nyingi crushes huanza pale mtu anapofikia hatua ya balehe,crush huanza ghafla na wakati mwingine hupotea ghafla pia,kwa hiyo mtu mwenye 30 akisema hajawahi penda huenda akawa anamaanisha,yaani miaka yake yote hiyo alikuwa anakutana na crushes tu na sio ile true love,kwa hiyo its very possible shostito,kwani ni rahisi sana kutofautisha kati ya crush na true love kama umewahi kuzipitia zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom