Never been in love?

Never been in love?

Na mtu akiwa na miaka 30..kama anataka kuanzisha mahusiano tena..anaangalia factor nyinyi sana..tofauti na mtu akiwa 20s mara nyingi factor kubwa inakuwa na utamu na mengine yana fuata..ila in 30s mengine kwanza then utamu ndo unafuata
Ok kwahio mtu akiwa 30 falling in love inakuwa haipewi kipaumbele tena….Unaweza kusema atatafuta mtu alokwa wifematerial kisha ndio afall in love…and what if atapata mtu mwenye vigezo vyote anavyohitaji lakini hamfeel kama anampenda…yaani ile kummiss mtu kumhitaji kujihisi upo katika bwawa la mapendhii….
 
ukitaka kuyaelewa saaana mapenzi yatakushinda,just follow your heart and insticts

kuna mtu/vitu vinaweza fanya usikumbuke kuwa we ni bonge la genius!
BAK nani aliimba huu wimbo Let love Lead the way!
 
Last edited by a moderator:
And what about your husband,lover or wife?will you be in love with them or just love them?

Ni ngumu kuwa in love na mtu kila siku.....kuna ups and down za relationships..but kama bond is strong..love inakuwepo tu hata kama kuwa in love haipo tena.....so sio lazima wapenzi wawe in love wakiwa wana love.....watu wanaweza kuwa na love huku hawaongei kabisa....wamenuniana.....only kama bond ilikuwa strong...
 
..nadhani kuna tofauti kati ya upendo niliowaonyesha ndugu zangu wakati wa utoto na upendo ambao natakiwa nimuonyeshe gorgeousmimi wakati wa utu uzima. Ni vitu viwili tofauti.
..kuna possibility mtu mzima kabisa asiwahi kupenda kabisa. By he way, how often do people fall in love??
hio inategemea mtu na mtu and how serious they take love…kuna wengine wakijeruhiwa mara moja hilo pigo lake hawathubutu kupenda tena.Na kuna wengine hawaoni shida kumaliza uhusiano huu na kurukia mwengine….
 
What if mtu huyo hajawahi kuumizwa lkn anasema alishapenda wasichana kabla ila sio kufall nao yaani mahabati niue….
Atakuwa na sababu nyingine. Je ni mshika dini sana au alikuwa mshika dini sana kipindi cha nyuma?
Je principle zake za maisha zipoje? (misimamo) Maana kuna watu wanaishi kwa malengo mfano,
Mtu anapanga nitaoa at 30 kwa hiyo kabla ya hapo haangaiki na mabinti wa watu watakuwa watu ambao atacheka
nao tu basi.
Au imani na misimamo ya kidini inamfanya aogope kuwa na mahusiano maana uhusiano waweza kuwa mzizi wa yeye
kuingia dhambini hivyo anawaepuka mabinti/wanawake.
 
snowhite, nashindwa kukukwoti mbona?

Ukianza kuyaandikia thesis mapenzi jua yashakushinda, ni kujiongeza tu kadiri roho anavyokuongoza.

Magazijuto?! Thubutu!!!!!!
 
Ndio ni mshika dini!hudhani insecurity inaweza kuchangia kwa namna moja ama nyingine!
 
I love you....
I love my dog......I love my job......I love my husband......I love GOD......I love my shoes.....I love to eat bananas...... I'm telling you...
 
Is it possible just to fall in love automatically…or you have to work your way upwards through several steps like having a crush,liking,falling in love and being in love….

^^
Real love grows slowly, dont invest too much energy finding love, it will cost your emotios!
Once you have it, then you can add efforts, remember Love is a plant..it needs to grow or else it dies!
^^
 
Am in love with the Ivoriennes!

good for you...na kesho unaweza kuamka uko in love na timu ingine...while kuna mtu au watu you just love them hata kama hauamki uko in love with them kila siku...
 
^^
Real love grows slowly, dont invest too much energy finding love, it will cost your emotios!
Once you have it, then you can add efforts, remember Love is a plant..it needs to grow or else it dies!
^^
Bingooo…there you go….
 
snowhite, nashindwa kukukwoti mbona?

Ukianza kuyaandikia thesis mapenzi jua yashakushinda, ni kujiongeza tu kadiri roho anavyokuongoza.

Magazijuto?! Thubutu!!!!!!

x-y*=<3y>
enhnhrnhe lazma udateee!
 
Last edited by a moderator:
Ukaona walau umtaje habibt wangu roho yako itulie! Nitakurogaaaa! Oooooh! IM IN LOVE WITH Matola cc ufafanuzi wa The Boss

He he he kabla hujaimbiwa ushacheza teh...nilijua nitakupa yakusema ndo maana 🙂
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom