badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
kupenda ni maamuzi. unaweza tu amua kumpenda mtu au unaweza amua usipende.
mhhhhh kupenda ingekuwa maamuzi dunia ingekuwa ya tofauti sana
kupenda ni maamuzi. unaweza tu amua kumpenda mtu au unaweza amua usipende.
mhhhhh kupenda ingekuwa maamuzi dunia ingekuwa ya tofauti sana
yes umenikumbusha ule uzi wangu wa kupenda ni chaguokupenda ni maamuzi. unaweza tu amua kumpenda mtu au unaweza amua usipende.
mhhhhh kupenda ingekuwa maamuzi dunia ingekuwa ya tofauti sana
yes umenikumbusha ule uzi wangu wa kupenda ni chaguo
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/667366-is-love-a-decision-or-a-feeling.html
nilipata dia…wengi waliafiki kwamba kupenda ni chaguo ambalo hujenga mazoea….lakini hisia zinahusika pia 🙂hivi hukupataga tu majibu?
hivi hukupataga tu majibu?
ha ha ha we umengangana nami niolewe…nitafutie mchumba basi….:smile-big:ukisikia kaolewa ujue ndo kapata majibu....for now bado anafanya research..
nilipata dia wengi waliafiki kwamba kupenda ni chaguo ambalo hujenga mazoea .lakini hisia zinahusika pia 🙂
kupenda ni maamuzi. unaweza tu amua kumpenda mtu au unaweza amua usipende.
haiyaaa mama nimekuelewa….ndo hivo. ukirefer kwenye ile thread yako utapata majibu ya thread ya sasa.
ha ha ha we umengangana nami niolewe…nitafutie mchumba basi….:smile-big:
unaweza amua kumchoka mtu?
huku nilipo niwatolee wapi mie yarabi stara….Mabinti wa kitanga huwa hawakosi wachumba...watakuja tu wengi ushindwe kuchagua...time yako bado I guess but wanakuja....
why? Mbona kupenda ni uamuzi.