Never Again - Rwanda genocide

Never Again - Rwanda genocide

Jmali, Genocide is not about numbers nahaihitaji statistics na mahesabu kuthibitisha kuwa kweli Genocide ilitokea:
War crimes and Genocide nivitu viwili tofauti, as far as i know kweli kuna wahutu waliuawa manake risasi haichagui:
kwa upande mwingine, nina ushahidi wa askali wa RPF waliouawa hadhalani kama adhabu yao kwa kulipiza kisasi:
Kuna wengi wa askali wa RPF walifungwa sababu ya kulipiza kisasi:
Kusema kuwa wahutu waliokufa ndio wengi,japo sio kweli manake hizo ni campaign zenu lakini haiondoi ukweli kwamba wa Tutsi ndio waliuawa kwanza bila sababu yoyote,(only that God created them as Tutsi) ingekuwa sababu nyingine then msingeua watoto wadogo:
Mauaji dhidi ya Hutu niyale yakulipiza nahakukuwa na mpango wowote wa RPF kama chama wakumaliza wa Hutu na kesi hizo zilikuwa individual cases kutoka kwa wale askali waliokuwa na hasira ya kuuliwa kwa familia zao,lakini mpango wa kumaliza wa Tutsi ulikuwepo:
Kagame alikuwa busy akipigana na serikali ya Habyarimana,kumbuka this was a rebel movement with limited resources hakukuwa na mda wa kuua Raia:
Genocide against Tutsi imekubaliwa na umoja wamataifa, and this was based on facts:
UN members including All Eastafrican countries wameonyesha upande wao kwenye suala hili:
Serikali ya Tanzania imetuma ujumbe kwenye kumbukumbu hizi na ilikuwa officially represented:

"You are isolated and it is a shame to support you openly, ndio maana hata comments of your style will remain on online forums where you hide your identity, i bet you can`t post this on printed or broadcasting media and you cant stand firm and post those arrogants openly:

1. okay, then you agree that most of those 800,000-1mil that died were hutus that were killed due to what you call "war crimes". Siku yao ya kuathimidha "war crimes against hutus" iko wapi?

2. unapotaka kuthibitisha kuwa most of these deaths were tutsis what do you base your argument on. Mine is based on the official population statistics za 1991 endorsed by the UN and the international community, the survivor's of the genocide etc. wewe basis yako ni ipi ukiachilia propaganda za kagame? Na kwa nini mtu anafungwa kwa kuhoji "when will our dead be remembered"? kinachoogopwa ni ukwel kuwa hutus lost more in those 100 days, call it "war crimes" or whatever.

3. "limited resources". FACT: kagame/RPA walikuwa na full support ya jeshi zima la NRA (uganda), in fact vikosi vya kwanza kushambulia Rwanda viliongozwa na general salim saleh (mdogo wake yoweri museveni). naomba ubishe hili kwa hoja.

4. "genocide against tutsi" haijakubaliwa na umoja wa mataifa, hii phrase ilichomekwa juzi tu na Rwanda wakati Rwanda ilipokuwa mwenyekiti wa baraza la usalama, tena halikuwa azimio la kuhusu genocide, lillichomekwa wakati linajadiliwa azimio la DRC congo, that is the sole document since 1994 to use that phrase, otherwise dunia inatumia Rwandan genocide. There is no doubt to anyone that if rwanda was not the head of security council this one sentence would would be there.

5. as for my isolation, blah blah, well..this is an internet forum mojawapo ya misingi yake ni anonymity, we all know what happens to people that dare to say what i say about Rwanda. je, wewe ambaye unaclaim kwamba you stand on the right side, iko wapi your real identity? weka wewe picha yako na information yako online kabla hujanituhumu mimi kwamba naogopa.
Pili, mimi sio expert wa Rwanda, in fact nilivyoanza kuijua Rwanda nilikuwa one of the biggest supporters of Kagame and Rwanda in general, what i know now is through verified facts, documents and other resources put online by people that "speak openly" as you say, regardless of their take on the gov, for e.g documents about Rwanda's involvement in M23 and CNDP are they not from the UN? takwimu za wahutu na watutsi walikuwa wangapi 1991 are they not from Rwanda's government? sasa kwa misingi hii utatakaje mimi ni-reveal my identity ili wewe uamini?

6. Mwisho, mimi sio mhutu wala mtutsi, na unaweza usiamini kuwa kama ninaweza kutafuta ukaribu zaidi na haya makabila mawili naweza kuwa karibu na watutsi zaidi. Najua kuwa silaha yenu kubwa badala ya hoja ni matusi, kejeli, kupachikana uhutu, interahamwe n.k, tabia hii sio nzuri. Tanzania tumekuwa tukiwahifadhi watu wote pale mnapopigana, attitude yenu watutsi ya sasa hivi itasababisha tusiwahifadhi tena. Hivi kuna tatizo gani kwa nyinyi kujadili bila kuwa na maneno kama "msingeua watoto wadogo"? did i ever accuse you of any crime kutokana na comment zako? kuwa great thinker kidogo, jadili kwa ustaarabu.
 
Back
Top Bottom