Neurosurgery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neurosurgery

Discussion in 'JF Doctor' started by donlucchese, Apr 22, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,494
  Trophy Points: 280
  habar zenu wakuu,samahan napenda kuuliza kama kwa hapa nchini kwetu katika vyuo vya medicine(muhimbili,kairuki,imtu,kcmc,bugando etc.) wanatoa bachelor of medicine in neurosurgery. Asante!
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  sijakanyaga bongo kitambo but.. i dont think so... dude why dont you try urosurgery au hematology ni hot cake subsahara africa... and if you wanna be a urologist kasome china ni wazuri katika laparoscopic urosurgery it needs skills unajuwa man open surgery ipo out of fashion now days .
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu inatolewa.
  ni chuo cha Muhimbili ndo inapatikana.
  Lakini sio Bachelor in Medicine, Neurosurgery ni superspeciality na unakuwa enrolled baada ya digrii ya kwanza au baada ya masters degree ya medicine.
  kwa hapa Tz inatolewa baada ya Masters degree kama ulifanya General Surgery au ?Orthopedics and Trauma na sio speciality zingine.
  Ni sandwich program between MUHAS and Witwatersrand University in South Africa.
  So kama una masters ya gen,surgery changamkia hiyo, otherwise kama una MD or MBBS you can opt to other colleges nje ya TZ, China & Japan accepts Tanzanians in that field na pia nadhani scholarships offered.
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  A lot have happened in your absence, karibu nyumbani siku hizi Kikwete ndo rais wetu.
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  hahaha... nafurahi man.. tuna advance katika swala zima la afya. babu tu wa kule poroni anaturisha nyuma. but tutasonga mbele EnchaAllah
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hapo pekundu hapana.
  Ni advancement ya ethnomedicine. Yuko juu kwa watoa tiba wa caliber yake sema kilichoharibu ni wanasiasa kushadadia hicho kikombe.
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  unasema kweli kabisa.. BUT ! anaturudisha nyuma insuch away watu wanaamini wanapona ukimwi bab!.. na kuacha madawa ya kupunguza nguvu za virus.. since ile dawa ina fight na opportunistic infections atapata nafuu wiki baada ya hapo ugonjwa unakuja kwa nguvu kuliko mwanzo..

  skia bab ...... me as a man of modern medicine naamini HIV kinga bado but there will be a breakthrough one day ...
   
 8. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,494
  Trophy Points: 280
  thanx dude,india nao c wapo freshy?
   
 9. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,494
  Trophy Points: 280
  thax alot
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  india wapo fresh .. but wachina wanafacilities nzuri zaidi.. nakwambia hivi kwasababu nilifika kule kwa exchange program ya mwezi mmjoa kati ya chuo changu na chuo kimoja kule kinaitwa Zhejiang University u can see this link Partners - Global Health Institute .. nafkiri ni best university china ikifuatiwa na peking university si unajuwa man sikuhizi vyuo feki kibao kuwa makini,

  link za zhejiang university hizi
  1) International College Zhejiang University
  2)Zhejiang University School of Medicine

  link for peking university
  1)Welcome to Peking University

  sina more info about India au kama vipi unaweza ukaja kulinga na mimi huku Loma Linda University

  good luck man but china schollership rahisi kupata cheki hizo link nilizokupata utaona ndio kipindi chake hiki...
   
 11. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,494
  Trophy Points: 280
  shukran sana mkuu
   
Loading...