mr man city JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 467 Reaction score 320 Aug 24, 2015 #1 Habari za mda huu wadau Nauliza kwa hapa Tanzania hawa wataalamu wa neurons wapo? wanapatikana hospitali gani? Natanguliza shukrani.
Habari za mda huu wadau Nauliza kwa hapa Tanzania hawa wataalamu wa neurons wapo? wanapatikana hospitali gani? Natanguliza shukrani.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Aug 24, 2015 #2 Muhimbili kuna kitengo kizima cha neurosurgery na jengo lao jipya - Ahsante Kikwete. Kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa hakuna hiyo.
Muhimbili kuna kitengo kizima cha neurosurgery na jengo lao jipya - Ahsante Kikwete. Kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa hakuna hiyo.
mr man city JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 467 Reaction score 320 Aug 24, 2015 Thread starter #3 shukran mkuu FaizaFoxy.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
N nyakati Senior Member Joined Sep 9, 2014 Posts 123 Reaction score 55 Aug 24, 2015 #4 mr man city said: Habari za mda huu wadau nauliza kwa hapa tz hawa wataalamu wa neurons wapo? wanapatikana hospitali gan natanguliza shukrani Click to expand... Moi Mkuu
mr man city said: Habari za mda huu wadau nauliza kwa hapa tz hawa wataalamu wa neurons wapo? wanapatikana hospitali gan natanguliza shukrani Click to expand... Moi Mkuu
Medical Dictionary JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,060 Reaction score 309 Aug 24, 2015 #5 Kcmc -Dr howlet
measkron JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,782 Reaction score 2,418 Aug 25, 2015 #6 Medical Dictionary said: Kcmc -Dr howlet Click to expand... Howlet ni neurophysician mkuu huyu anatafuta neurosurgeon wanaoatikana MOI
Medical Dictionary said: Kcmc -Dr howlet Click to expand... Howlet ni neurophysician mkuu huyu anatafuta neurosurgeon wanaoatikana MOI
C CAY JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 505 Reaction score 105 Aug 25, 2015 #7 Nenda Mhimbili National Hospital-Muone.Dr Innocent Rwegasha.Ni mtaalam sana.Mara nyingi yupo ward ya mwaisela ila tafuta siku ya clinic yake amuone hapo.
Nenda Mhimbili National Hospital-Muone.Dr Innocent Rwegasha.Ni mtaalam sana.Mara nyingi yupo ward ya mwaisela ila tafuta siku ya clinic yake amuone hapo.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Aug 25, 2015 #8 FaizaFoxy said: Muhimbili kuna kitengo kizima cha neurosurgery na jengo lao jipya - Ahsante Kikwete. Kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa hakuna hiyo. Click to expand... unamaanisha jengo au kitengo?...kaka yangu yuko muhimbili as neurosurgeon kwa zaidi ya miaka 15... Sifia jengo.
FaizaFoxy said: Muhimbili kuna kitengo kizima cha neurosurgery na jengo lao jipya - Ahsante Kikwete. Kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa hakuna hiyo. Click to expand... unamaanisha jengo au kitengo?...kaka yangu yuko muhimbili as neurosurgeon kwa zaidi ya miaka 15... Sifia jengo.