Hii ni mashine ya kujifunzia inayopata vigezo vya mfumo usioeleweka (yaani, seti zisizoeleweka, sheria zisizoeleweka) kwa kutumia mbinu za kukadiria kutoka kwa mitandao ama mifumo ambayo haipo.Wadau kama swali linavyojieleza hapo juu naomba mwenye uelewa wa hii kitu ashushe nondo.
Inatofauti gani na Artificial Intelligence?Hii ni mashine ya kujifunzia inayopata vigezo vya mfumo usioeleweka (yaani, seti zisizoeleweka, sheria zisizoeleweka) kwa kutumia mbinu za kukadiria kutoka kwa mitandao ama mifumo ambayo haipo.
Yaani nikitu unachoweza ukakiona kinataka ukitolee majibu ama suluhisho kwa kutumia ufahamu wako ulio zaliwa nao.
Hii ni nadharia na ukuzaji wa mifumo ya kompyuta inayoweza kufanya kazi ambazo kwa kawaida zinahitaji akili ya binadamu, kama vile utambuzi wa kuona, utambuzi wa usemi, kufanya maamuzi, na tafsiri kati ya lugha.Inatofauti gani na Artificial Intelligence?
Hizi ndizo project zinazokubalika zaidiinapokuka swala MSC NA PHD siku njemaWadau kama swali linavyojieleza hapo juu naomba mwenye uelewa wa hii kitu ashushe nondo.
Ubarikiwe sana mkuuHii ni nadharia na ukuzaji wa mifumo ya kompyuta inayoweza kufanya kazi ambazo kwa kawaida zinahitaji akili ya binadamu, kama vile utambuzi wa kuona, utambuzi wa usemi, kufanya maamuzi, na tafsiri kati ya lugha.
Siku nyingine usirudie kuuliza maswali rahisi kama haya
Kwa watu wanaochukua MSC na PHD unadhani watakubaliwa na nani kufanya viproject vidogo au ambavyo vimetrend kama vile IMS, MOBILE APP n.k atleast kuwe na innovative idea humo ndani na iwe ya kipekee.Fafanua kidogo mkuu
Kuna dau bro tuko kitaa kubaya kama litakuwepo nichekiKama kuna mjuzi anayeweza kunisidia research kwa maeneo haya ya Antificial Intelligence namwomba inbox please
Ebi jaribu pia kutafuta kitabu cha huyu mtu ukisome. Mimi ninacho ila ni hard copy. Alinipa siku ya Viva yake ya PhD, TU-Delft Septemba 2000. Ni mtu wa Cuba kwa Hayati Fidel CastroWadau kama swali linavyojieleza hapo juu naomba mwenye uelewa wa hii kitu ashushe nondo.
Ubarikiwe sana mkuu ila sema huku kwenye hizi journal huwa wanaweka as a summary not full researchEbi jaribu pia kutafuta kitabu cha huyu mtu ukisome. Mimi ninacho ila ni hard copy. Alinipa siku ya Viva yake ya PhD, TU-Delft Septemba 2000. Ni mtu wa Cuba kwa Hayati Fidel Castro
Ni machine au ni model?Hii ni mashine ya kujifunzia inayopata vigezo vya mfumo usioeleweka (yaani, seti zisizoeleweka, sheria zisizoeleweka) kwa kutumia mbinu za kukadiria kutoka kwa mitandao ama mifumo ambayo haipo.
Yaani nikitu unachoweza ukakiona kinataka ukitolee majibu ama suluhisho kwa kutumia ufahamu wako ulio zaliwa nao.
Ukipata muda nunua kitabu kutoka Amazon; siyo lazima hiki nilichokueleza, bali kile ambacho wewe unaona kuwa kinafaa kwa ajili ya mahitaji yakoUbarikiwe sana mkuu ila sema huku kwenye hizi journal huwa wanaweka as a summary not full research
Khaahhhhh....😲Kama kuna mjuzi anayeweza kunisidia research kwa maeneo haya ya Antificial Intelligence namwomba inbox please