Network problem katika Lenovo Z580

Network problem katika Lenovo Z580

Shark's Style

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
312
Reaction score
187
Wadau habari zenu,
Nina laptop yangu tajwa hapo, ina wondows 8 inaonesha wireless device(intel centrino 2200) ipo turned off nikiangalia kwenye device manager inaonekana ipo n its driver is up to date, previously hata usipoweka driver inaonekana sasa hiv hamna kitu nikaweka card nyingine ya atheros bado tatizo lile lile ila nayo kwenye dev manager inaonekana kwenye bios ipo enabled bios version ni 5CFN89WW kwakweli nimekwama hapo naombeni mnielekeze namna ya kusolve hilo tatizo,
Natanguliza shukran zangu za dhati



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom