tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 536 Apr 5, 2012 #1 Jamaa yupo JF.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,552 Reaction score 21,685 Apr 5, 2012 #2 hii ni zaidi ya network, kuna anachokitafuta huyu!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 5, 2012 #3 acha uongo unaona kabisa hiyo ni FB halafu unasema ni JF ushindwe..
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,644 Apr 5, 2012 #4 Sio Bishanga huyo kweli?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Apr 6, 2012 #5 kama vipi simama juu ya komputa yako utaona vizuri ndetichia said: acha uongo unaona kabisa hiyo ni FB halafu unasema ni JF ushindwe.. Click to expand...
kama vipi simama juu ya komputa yako utaona vizuri ndetichia said: acha uongo unaona kabisa hiyo ni FB halafu unasema ni JF ushindwe.. Click to expand...
mysteryman JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 1,080 Reaction score 393 Apr 6, 2012 #6 hahaha kibabu kina tag.....
M Mangu shadrack Member Joined Mar 17, 2012 Posts 21 Reaction score 0 Apr 6, 2012 #7 Aise kwa wenye mabafu ambayo hayajaezekwa imekula kwenu.
LuCKNOVICH Senior Member Joined Jan 22, 2011 Posts 104 Reaction score 11 Apr 6, 2012 #8 Duh,jamaa hafai kuishi uswazi kwetu,kila siku atakuwa anatafuta network
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Apr 6, 2012 #9 picha nzuri...ila umetudanganya...naona kitu cha fb hapo afu unasema Jf!..
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Apr 6, 2012 #10 akajaribu uswazi aone!!
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 536 Apr 6, 2012 Thread starter #11 Emanuel Makofia said: akajaribu uswazi aone!! Click to expand... itamtokea nini?