Netbook Vs Notebook

joe.

Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
36
Reaction score
221
salaam,
Niko katika wakati wa kufanya maamuzi kununua ipi kati ya laptop ama zile notebook(wengine wanasema Netbook,sjui ipi ni sahii).

Ningependa kujua tu kitaalam the +ve and the -ve za zote. Ukiacha the obvious yani Cd drive.

Akhsanteni Sana.
 
salaam,
Niko katika wakati wa kufanya maamuzi kununua ipi kati ya laptop ama zile notebook(wengine wanasema Netbook,sjui ipi ni sahii).

Ningependa kujua tu kitaalam the +ve and the -ve za zote. Ukiacha the obvious yani Cd drive.

Akhsanteni Sana.

Laptop na Notebook ni interchangeable terms.

Netbook on the other hand ni tofauti, inatumika sana kudescribe small machines mainly used for small tasks like going to the web, and all that. Usual characteristics:
  • Usually have small screen size 11.6" or less
  • They are small in dimension, and emphasis is on battery life sana
  • Usually powered by low voltage processors or mobile processors i.e Intel Atom, ARM processors
  • Usually have lightweight OS, e.g Windows 7 starter, Android dualboot option
  • Some come with 3g connectivity as they are meant to be used on the go
  • Kiswahili zaidi tunaziita mini-PC
 
Ni kama alivyosema UB16 hapo juu.

Notbook ni sawa au karibu sawa na Tablet za bei juu. Sema tu tofauti ni kuwa Tablet haina Keypards zinazojitemea, ingawa kuna wengine wanaweka Cover ya Tablet iwe na Keypards ambayo ukiunga, inakuwa kama Notbook. Ila sema, mara nyngi Tablet uwezo wake upo chini ya Notbook.

Notbook ni kuwa zina Keypards kama Notebook wakati Tablet hizo keypards zinatokea kwenye screen.

Kwa maana hiyo, Tablet zinakuwa ni TOUCH SCREEN yaani screen unasoma na kuandika wakati Notbook inafanya kazi kama Notebook ila sema uwezo wake mara nyingi unakuwa mdogo(kulinganisha na Notebook) na upo karibu au hata kuzidiwa na Tablet (kwa nadra hasa Tablet za bei juu).

Notbook pia yaweza kuwa na Touchscreen ingawa sijui bei yake itakuwaje na sijui hata kama wanatengeneza. Labda haya makampuni ya Kichina wanaojaza kila kitu kwenye hizi Laptop.

Faida na hasara: Ni kama kuwa na Pikipiki, gari na ndege.

Tablet na Notbook kwangu mie ni kama Pikipiki maana itakatiza hata kwenye vichochoro ila inavyokuja kufanya safari ndefu au kubeba mizigo au abiria wengi, basi unakwama.
Notebook kwangu mie ni kama gari kwani utafanya safari ndefu bila kuchoka na pia kubeba abiria wengi na mizigo.

Desktop kwangu mie ni kama ndege. Ina nguvu na inafanya kazi kwa masaa mengi sana bila kuchemka wala nini na kuwa imetengenezwa kwa ajili ya kazi ngumu kama watu wa Graphics na music (film productions). Tatizo lake ni kuwa inabidi iwepo tu sehemu moja kwani kuisafirisha ni kasheshe na pia inahitaji umeme muda wote inapofanya kazi.

Notbook na Tablet ni Nyepesi, ndogo, bei nafuu (siyo muda wote) na rahisi sana kuwa nayo kwenye ndege, train bila kuumia kubeba mzigo mzito wala kuwavutia vibaka kuwa umebeba Laptop. Ila huwezi kufanya kazi zinazohitaji CPU (processor) yenye uwezo mkubwa, RAM nyingi na graphic Card/Music Cards.

Hapo ndipo sasa Notebook huingia na kuendelea kumalizia kazi iliyoshindwa Notbook. Ila ndiyo hivyo tena, ukubwa, bei kubwa, nk mengine mengi.

Kwangu mie, kama unataka kuanza kununua Laptop, inategemea unataka kufanyia nini. Kama ni kuandika tu na kuangalia Internet, basi Notbook inakutosha. Ila kama una kazi zinazohitaji PC nzuri, basi anzia kwanza Notebook na huko mbeleni basi ununue Notbook au Tablet.
 
Hizi netbooks/notebooks(terms are used interchangeably) first off vina screen ndogo making even enjoying a descent movie hard,.

Pili kama mkuu alivosema juu kabisa zina processor ambazo zina very low performance! Nilishaona hizi mini mbili tu zenye descent Core i5 processor, moja ni dell Xps 13 ( or 14 i think) nyingine ilikua ni HP(can't remember the model) ila price zake zilikua ni 2.8million! Huku kwa nusu ya hio hela unapata a very powerful laptop with 15" display tena.

Kama upo mobile sana na uko tayari kutoa sadaka performance for mobility chukua hivo vidude, ila otherwise utajuta kuvinunua na utakiuza within a year!
 

duh,ahsante
 
Good Guy mimi nakataa kuwa eti ni vifaa vya wanawake. sijawahi ona popote wakisema netbook au notebook ni kwa ajili ya watu fulani. nakumbuka thread ya C6 kuhusu muongozo wa vitu vya kuzingatia kabla hujanunua kompyuta...

tunanunua laptop/desktop/simu kwa kuzingatia mahitaji yetu hasa. wewe kama fedha sio tatizo unafanya video/animation production huwezi nunua kifaa sawa na mtu anayefanya browse internet. word proccessing na kuangalia movies
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Acha kuwachanganya watu. Sijui una maana gani unaposema kuwa ni mashine za wanawake. Inategemea na mtumiaji siku zote. Kuna siku nilitembelea Office wanayofanya Film and Music productions na huko kweli mezani palikuwa na Keboards, Screen na Mouse peke yake. Nikaambiwa Sever na Computer, zote ziko chumba cha pekee. Nikaonyeshwa mdudu mmoja mkubwa sana na vitaa kibao na nikaambiwa huo ndiyo MOYO wa kampuni.

Ni kweli kuwa kuna baadhi ya kazi, hata PC haifai kitu na hapo inabidi ubadili mashine na za juu kabisa ni zile wanatumia USA jeshini na NASA kama sikosei yaani Super Computer ambapo CPU kibao zimeungwa pamoja na kufanya kazi. Sasa hivi hata hizi Laptop nyingi, ndani ya CPU moja, kuna viprocessor viwili, vinne au vinane. Hii sasa hata kwenye simu au Tablets ipo tayari.

Kwa mfano Laptop kwa ajili ya Gaming za DELL ziitwazo DELL ALIENWARE, ni moto wa kuotea mbali kwa ajili ya ENERGY inayotumika hapo na uwezo wake. Ni makubwa na manene kwa sababu yanatumia Fani kubwa zaidi kupoteza Engine ya CPU na Graphic card/S ambapo unakuta zinatengeneza joto kali sana ndani.

Hebu angalia mashine hii ya Kilo nne na useme ni ya KIKE......

DELL PRECISION M4800 i7-4800MQ. Processor: Intel Core i7 4900MQ http://www.notebookcheck.net/Dell-Precision-M4800.109599.0.html

DELL Alienware M17x i7-4700MQ (Mashine ya Wachezaji - Gaming)



 
siku hizi kuna haswell fanless chip laptop/tablet mpya zote zinakuja bila feni na zinakua nyembamba
 

Ukitoa business men majority ya watu wanaotumia na kupenda hizi PC ni wanawake, cause they are light weight na wanawake hawako interested sana na all the fancy processing power(najua sio wote, just saying majority)!! Unasemaa hujawai kuona popote wakisema notebooks ni kwa ajili ya watu flan? Naomba nimquote one of Samsung's spoke women walipokua wana launch netbook zao kipindi flani cha nyuma!!
"Our main target audience will be young ladies in their twenties or even early thirties," says Yeon-hee Park, a Samsung spokeswoman. "Given its super-light and tiny features, ladies may find it handy to carry this around in their bags."
source:Samsung Targets ‘Ladies' for New Netbook - Digits - WSJ
 
 
Fanless??? Kwenye maswala ya cooling ndio inakuwaje?

zinafanya kazi kama za simu, hazipati joto sana hujaona tablet za window hizi ndogo? very powerfull halafu cheap halafu hazina feni. kuna hizo haswell na baytrail zote ni fanless. haswell zinacover device za bei ghali na baytrail hizi za bei ya chini.

mfano dell venue 8 pro ni nyembamba na wala huwez jua kama ni tablet ya window sababu ya hizi processor mpya.



kutokua na fan kumefanya ziwe nyembamba hivyo
 

Em acha mabango kwa wanawake, nafahamu wanawake wengi tu ambao nikiwaleta kwako wanakukimbiza kwenye technology mbali vibaya mno na ni bongo nisiende mbali, kwani wanawake ndio hawafanyi Graphics designing au Gaming kurequire high end machines? Kila mtu na preferance yake kjn, sio kila mtu mwenye a thousand dollar kununua machine kubwa, kwa personal user wa kawaida ambaye sio gamer wala haitaji very high perfomance unataka uniambie notebooks hazipo za kuweka kukidhi mahitaji yake effectively au unataka tu ushabiki kutuonyesha unazijua very powerful machines? We unayo?
 
Mkuu, naona sasa wewe umechanganya mambo. Kuna tofauti kati ya NETBOOK na NOTEBOOK. Ila wewe naona zote unaziweka kwenye kapu moja. Hizo Dell Alienware, Dell Precsion nk ni NOTEBOOK. Kwa sasa hivi hata CPU zake ni Intel i7, i5 au i3 kwa nadra. Wakati huo, NETBOOK, cpu zake ni Intel Atom au sijui Celeron nk......

Ila zote zinaitwa LAPTOP au Portable PC. Kama nilivyoandika mwanzo, Netbook na Tablet kiuwezo ni kama zipo sawa. hizi ndiyo wewe unaita za kike? Kama ni hivyo hata mie nakubaliana na wewe. Ila ukisema NOTEBOOK, basi zinaanzia hizo za bei nafuu hadi hao akina Alieware.

Mie mwenyewe kwa kazi zangu, niliagiza Dell Inspiration 17R mwaka huu kwa kweli nimekipenda kimashine hiki na hasa ukishakiunga na Windows 8 ambayo nimeifanya isomeke kwa KISWAHILI. Ndiyo uzuri wa Windows 8 ambapo unabadili lugha utakavyo. Kwa sababu sifanyi Gaming, inanitosha sana kwa sasa na miaka kadhaa mbele. Ni nyepesi, pana, HD na inafanya kazi kwa bila makelel kabisa.

Pamoja sana.....
 
Duh, man mtoa mada kaomba ushauri i gave him MY ADVICE, feel free to give him yours, suala la Ushabiki tena limetoka wapi?!! I do animations and graphics work na nmepost some of my works in here and if ur familiar with Animation and Graphic works unajua specs za PC inabidi ziweje(high) so yeah i think i'm qualified to advice the lad maana i know my gadgets!! Ila i've edited the comment naona its perceived negatively!!
 
Kama ume-edit comment umefanya vizuri! Hakuna maswala ya ushabiki since we ndio kwanza uliuanzisha... Na hongera na hizo gadgets zako.. Think twice kitu kabla hujakiandika.. hii ni mass kubwa yeyote anaweza kuchukulia kitu anavofikiria... hatuna akili sawa
 

Nnavyojua hakuna exact precise difference kati ya hizo terms!! Ni sawa na difference between a "hill" and "mountain" alot of people may have different opinion to which is which!! Mfano kama ulivosema hapo NETBOOK zina Atom na Celeron processors, unasemaje kuhusu hii "Acer Aspire TimelineX 11.6" Netbook with Intel Core i3-380UM Processor with Hyper-Threading, 3GB DDR3, 320GB HDD - Black" Overall size ndo main difference kati ya Laptop na Hizi note and netbooks ila hizi two distinct difference ni debate so ndo hapo ninaposhauri kua bora laptop maana hizi mini PCs zina specs ndogo na ukitaka yenye specs kubwa ni ghari kuliko hata Normal sized laptops!! Anyways feel free to correct me i might be wrong, its what i understand.
 
Ok, gotcha!!
 
wow, najifunza vitu vingi sana hapa. I am a layman in theśe stuffs. And you guys..you're techno-savy. 'Bless ya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…