Netanyahu to set "clear red line" for Iran in U.N. speech

israel isione hatari kuingia vitani.... mmarekani anaogopa tu kuonekana anauchochezi katika ugomvi huu ila pale tu israel atakapo guswa tu ndipo itafahamika mmarekani ni nani
 
Hiyo red line inanikumbushia nyingine Sadam aliwekea majeshi ya marekani kusudi awaonyeshe the mother of all battles
 
bILA MYAHUDI aLBET eSTAIN KUVUMBUA BOMU LA ATOMIC, VITA YA KWANZA ISINGEISHA. Hivyo myahudi annafasi pekee ya kubebwa hapa duniani kwa mchango wake wa kuleta amani duniani.

Iran ni taifa la kishetani. Hilo raisi lake jinamizi ahmedinejad lina ajenda mbaya sana ya kuwafuta wayahudi hapa duniani. Hivyo huo mtambo wake wa nuclea lazima ubomolewe apende asipende. Yeye Iran ndiye mfadhili wa Hisbollah, Hams na Al Shabab. Hivyo akifanikiwa kumiliki silaha za nuklea hapa duniani hapatakuwa na amani kabisaa.

Acha chuki za kidini kwa taifa la Israel. Upende usipende Myahudi kashika dunia na UN ni mali yake. Huwezi ukapata ukatibu mkuu wa UN kama nchi yako haina uhusiano wa kibalozi na Israel. Jiulize kwa nini salim hakupata kiti hico pale alipogombea ukatibu wa UN.

“Quran is not a book of algebra or geometry but is a collection of rules which guides human beings to the right way, the way which the greatest philosophers are unable to decline it.” Albert Einstein.

Kichekesho... angalia unachobugizwa sicho unachopaswa kukitoa mkuu. Ukweli ni kwamba Alshabaab, Alqaeda zimetengenezwa na CIA, na hiyo HAMAS ilitengenezwa na MOSAD wakati PLO ikiwa chama cha ukombozi cha ukweli na HAMAS ilitumika wakati huo ili kuvuruga harakati za Yasser Arafat. Hiyo ni kwa kifupi ila ziada ni kwamba: Kama ilivyo jambo lolote ovu, Mwisho wa siku hurudi LILIKOTOKA! na ndivo ilivyo kwa vikundi vya mauaji vinavyoundwa na Israel na CIA.. mwisho wake huwa ni kuwageukia bwana zao pale msigano wa kimaslahi unapotokea au matumizi yao yanapoisha...
USE AND ABUSE! lakini kwa sababu tumezoea kila mdundo unaokuja tunakwenda nao siwashangai!!!
 
Back
Top Bottom