Netanyahu Safari ya Kihistoria: Kutembelea Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,951
3,239
Waziri Mkuu wa Israel ameanza ziara Uganda, ataenda Kenya, Rwanda na Ethiopia

Watanzania tumebaki na undumi la kuwili, kushika huku na kule

badala kuangalia uhusiano wenye faida kiuchumi, tunatanga tanga...

Eti hatuangaliii nchi nyingine maana sio koloni.....Tanzania tuna viongozi wenye majivuno
 
Waziri Mkuu wa Israel ameanza ziara Uganda, ataenda Kenya, Rwanda na Ethiopia

Watanzania tumebaki na undumi la kuwili, kushika huku na kule

badala kuangalia uhusiano wenye faida kiuchumi, tunatanga tanga...

Eti hatuangaliii nchi nyingine maana sio koloni.....Tanzania tuna viongozi wenye majivuno

Huko aendako huyo PM kuna watu wengi wenye damu yake ie Semites
 
Sasa hapo unalaum nini sasa, hizo ni protokali zao za ziara za nje na huwezi kuwapangia
 
Kwani huko anapokwenda wamepata nini cha ajabu hadi maneno hayo kukutoka? Si nenda huko anapofanya hizo ziara "ukabarikiwe"
 
Faida za kiuchumi ni zipi?

Tanzania tunataka Viwanda.....Tutapata wapi technology?

Viongozi wawe wabunifu kulobby

Uganda, Rwanda, Kenya, Ethiopia wameweza

Tumeenda kuiba wazo la kufufua ATCL Rwanda....Twende mbele zaidi...Ethiopia, German, French, Japan, Israel
 
burundi nayo ipo east africa labda tukuulize wewe pia mtoa mada kwanini hatui na huko labda na sisi wengine tunaweza anzia hapo....
 
Vipi mbona katupitia mbali watz, au wafanya tafsiri ya Kiyahudi hatunao!?
 
Tanzania haijaalikwa hata kwenda kuonana naye, zambia , malawi etc zimealikwa kukutana na huyu boss wa midle east
 
Aje hapa kupoteza muda? Sasa hivi uongozi wetu wa nchi hauna Calibre ya kukaribisha na kuzungumza masuala makubwa na viongozi wakubwa wa dunia, sasa hivi tuna mtu ambaye hadhi yake labda ni kuzungumza na Makamanda wa Polisi wa mikoa tu!
 
Tanzania sasa vision yake ni kuwa kama Rwanda wakati Raia wa Rwanda wanatamani wangezaliwa angalau Kahama Shinyanga
 


Waziri mkuu wa Taifa la mashariki ya kati Israel Mh Benjamin Netanyahu atazitembelea baadhi ya nchi za afrika mashariki. katika mtandao wake wa Tweeter ameandika ifuatavyo;-

"Landed in Africa. It's been decades since an Israeli PM has visited. I'll be in Uganda, Kenya, Rwanda & Ethiopia."

Akimaanisha kuwa ametua Afrika, imekuwa miongo Tangu waziriki mkuu wa Israel kutembelea huku. Nitakuwa Uganda, Kenya, Rwanda & Ethiopia.

RATIBA YAKE KWENYE ZIARA HIZO

July 4 (UGANDA)
-Departure for Entebe
-Meet with the president of Uganda (yoweri Museveni)
-ceremony and commencement 40 years since operation Entebe

JULY 5 (KENYA)
-meeting with kenya president Uhuru kenyatta
- Israel- kenya Business forum
-meeting with member of kenyan friends of Israel organization

JULY 6 (RWANDA)
-visit to the kigali Genocide Memorial
-Meeting with president of rwanda

JULY 7 (ETHIOPIA)
-Meeting with Ethiopia prime minister
-Meeting with Ethiopia president
-Israel-Ethiopia business forum
-speech at Ethiopia assembly
-visiting the national museum of Ethiopia

Lengo kubwa la ziara hii ni kiongozi huyo kwenda kujionea eneo alilo fariki kaka yake alie kuwa kiongozi wa mapambano kwenye operesheni ya kijeshi walioifanya miaka ya nyuma ya kuwakomboa mateka wa kiyahudi kwenye operesheni maarufu ijulikanayo kama "operation Thunderbolt"

Pia ikumbukwe kwamba uhusiano wa Tanzania na Israel ni wa kusuasua huku njia mbali mbali zinatumika kurejesha uhusiano huo na taifa teule.

Mataifa ya wenzetu wanalitumia taifa hilo kwaajili ya kujiimarisha kijeshi kwani nchi ya israel ni kati ya nchi yenye uwezo mkubwa wa kivita na kimapigano,

karibuni kujadili,, povu na matumizi ya matusi hayahusiki.....
 
Back
Top Bottom