Wapalestina wangekuja kigoma na waisraeli wakaenda serengeti watafute mlima mzuri wajenge hekaru lao ugonvi uishe...Wapalestina ndo wapelekwe kigoma
Kwanza hujui maana ya Neno Hebrania.
Pili jua issue ya Uyahudi si suala la Genetic kwamba wayahudi ni superior genetically lah.
Issue ni kutunza agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim via Isaac via Jacobs ambaye ndiye Israel.
Taifa la Israel lilipogawanyika waliobaki wakitunza angano la Mungu ni Wayahudi hivyo mkataba uliendelea kupitia wayahudi si wengine.
Wingi si tija. Agano linasema watasimamisha taifa lenye Nguvu pale Kanani no matter what.
Na kwa kukusaidia hakuwai kutokea Nabii nje ya Yuda na Benjamin. Unajua kwa nini..... Yuda ndiye alipewa kutunza na kulinda agano toka kwa Yakobo.
Kwahio mkuu unaniambia kua Mungu anafurahi kuona watu wanavyoteseka kwa mapigano hayo kisa tu ardhi? ?Hahaha umenifurahisha sana. Sababu ni kwamba Mungu mwenyewe alichagua Jerusalem kupaita kwa jina lake. Hii mivutano tunayoishuhudia ni matokeo ya roho zinazopingana ndani ya watu husika.
Kabisa mkuu, au waende Bonde la MTO rufiji huko,mji wenyewe umejaa mawe tu huko JerusalemWapalestina wangekuja kigoma na waisraeli wakaenda serengeti watafute mlima mzuri wajenge hekaru lao ugonvi uishe...
Sidhani kama Mungu anafurahi kuona watu wanateseka kisa majengo tu na ardhi ambayo hata hapa bongo tunayo na haitumiki
OK. Kwa nini tuanzie kwenye colony la Palestine na si kabla ya hapo. State formation its big than law itself.Kwanini agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim liwe legally binding in any court of law kiasi cha kuwaondoa na kuwany'ang'anya nchi wakaazi?
Kwa nini msielezee uhalali wa waisraeli kuwepo Jerusalem kwa kutumia sheria za kimataifa?
Hayo maagano, hakuna mtu yeyote aliyeyaona wala hakuna signature yeyote kwenye waraka au andiko lolote. There's no MoU (legally binding) other than the British government granting independence to the colony of Palestine.
So, the timeline should be zeroed at that point and all arguments should be based on the Palestine independence as a legally binding "henceforth"
Wewe source yako ni niniWewe ni mwongo sana na unafundisha ulaghai na wongo (Heresy)
Musa ndiye nabii wa kwanza kabisa- Kabila la Lawi (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Eliya alikuwa nabii wa moto- Kabila la Gadi (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Yoshua alikuwa nabii wa moto- Kabila la Ephraim (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Elisha mrithi wa Eliyea na nabii wa moto- Kabila la Issachar (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
NB: Kumbuka Ufalme wa Isreal ndiyo ulikuwa na manabii wengi kuliko hata Ufalme wa Yuda.
Ukisoma hata historia unaambiwa Eliya alikuwa na chuo cha manabii huko. Biblia yenyewe unayoitumia kuleta hoja zako hizi inasema kabisa kwamba Jezebeli mke wa Ahabu Mfalme wa Israeli aliua manabii zaidi ya 100 ambao wote walikuwa siyo Wayahudi na Wabenjamini.
Mama yake Ishmael hakuwahi kuwa mke wa IbrahimHaramu unasema wewe !
Mbona Mungu alimbariki sana ???
Hata Mfalme Suleimani naye alikuwa haramu hivi unajua ???
Hata Yesu mwenyewe Wayahudi wanamwita mwanaharamu lakini leo hii mnamwabud!
NB: Shirikisha ubongo kabla ya kuropoka.
Watu wa zamani walikuwa wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya moja.
Hata makabila kumi na mbili ya Israel hayajatokana na Rebeka na Raheli pekee.
Yakobo alizaa watoto wake wengine kutoka kwa vijakazi wa wake zake.
Kwani hii sio sawa na kusema mkwawa alitawala uhehe na mirambo tabora lakini yote ni Tanganyika ?
Wewe source yako ni nini
Musa ni Mlawi. Kwa taarifa yako walawi walikua makuhani na lilipowanyika taifa la Israel waligawanyika kote kote na hawa kuwa Yuda au Israel. Wakulikuwa kote.
ISAYA ulikua myuda pure na Alizaliwa Yuda zama za mfalme Azaria na ntakuletea kifungu ukitaka. Hivyo hivyo kwa Eliya.
Ikibidi twende na vifungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]He never had two wives,Ishmael ni mtoto haramu.
Mama yake Ishmael hakuwahi kuwa mke wa Ibrahim
Wewe source yako ni nini
Musa ni Mlawi. Kwa taarifa yako walawi walikua makuhani na lilipowanyika taifa la Israel waligawanyika kote kote na hawa kuwa Yuda au Israel. Wakulikuwa kote.
ISAYA ulikua myuda pure na Alizaliwa Yuda zama za mfalme Azaria na ntakuletea kifungu ukitaka. Hivyo hivyo kwa Eliya.
Ikibidi twende na vifungu.
Ndiyo, hao walikuwa wajakazi wa Rachel na Leah na siyo wake.Hata Naftali na Gadi moja ya Makabila makubwa ya Israel mama yao ZILPA hakuwa ni mke wa Yakobo.
Tena Dani na Naftali watoto wa BILHA mama yao hakuwa mke wa Yakobo.
Unataka kusema hawa walikuwa ni wana haramu ???
Mkuu kubali bwana kule juu ulipodai manabii wote walitokana na Kabila la Yuda na Benjamin ulikosea. Umeonyeshwa hapo kuwa Musa anatokana na kabila la Levi (Lawi). Na kwa mujibu wa Waisrael hakuna nabii mkubwa aliyewahi kutokea Israel kushinda Musa
Ndiyo, hao walikuwa wajakazi wa Rachel na Leah na siyo wake.
Hata Naftali na Gadi moja ya Makabila makubwa ya Israel mama yao ZILPA hakuwa ni mke wa Yakobo.
Tena Dani na Naftali watoto wa BILHA mama yao hakuwa mke wa Yakobo.
Unataka kusema hawa walikuwa ni wana haramu ???
Kwanini agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim liwe legally binding in any court of law kiasi cha kuwaondoa na kuwany'ang'anya nchi wakaazi?
Kwa nini msielezee uhalali wa waisraeli kuwepo Jerusalem kwa kutumia sheria za kimataifa?
Hayo maagano, hakuna mtu yeyote aliyeyaona wala hakuna signature yeyote kwenye waraka au andiko lolote. There's no MoU (legally binding) other than the British government granting independence to the colony of Palestine.
So, the timeline should be zeroed at that point and all arguments should be based on the Palestine independence as a legally binding "henceforth"
Utawala kaskazini wa Israel (Wasamaria) na utawala wa kusini wa Yuda hawajawahi kupendana kiviiile, infact ni mahasimu wao kwa wao kwa muda mrefu.
Infact Wasamaria walijiamini kwamba wao ndo wanafuata mafundisho halisi ya Torah na waliwaona Wayahudi waliotoka Utumwani Babylon kama wanafuata dini iliyoharibiwa.
Wasamaria wengi miaka ya baadae waliconvert kuwa Waislamu na Wakiristo.
Wasamaria hujinasibisha na Uzao wa Yusufu kutoka kabila la Manaseh na Ephraim
Kumbuka Yuda na ndugu zake walimfanyia kitu kibaya Yusufu kwa sababu ya wivu!
Miongoni mwa Wapalestina wa leo wamo ISRAELITES sema tu kwa kuwa wameadapr kiarabu na dini ya kiislamu hudhaniwa kuwa walitoka Arabia lakini ni Wana wa Yakobo kabisa hivyo basi Jews hata wafanyeje hawataweza kuwatoa pale