MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,772
- 71,839
Uko sahihi hakuliona, maana ahadi ni uzao wako utakuwa Taifa kubwa, siyo utauona uzao wako ukiwa Taifa kubwa
Anaweza kuwa yupo sahihi kwa kusema hivyo kwani ahadi alipewa Abrahamu na yeye ndiye aliyeipokea ahadi na uzao wake ukajakuwa kuwa Taifa kubwa, hivyo unaweza kuona usahihi wakeSasa bwana nyabhera anakomaa kwamba Abrahamu ndiyo mwanzilishi wa taifa la Israeli.
Wakati hiyo kazi ilifanywa na Joshua na Kalebu.....!!!!
Btw thank you for understanding my assertion........
Merry Christmas in advance.......
Anaweza kuwa yupo sahihi kwa kusema hivyo kwani ahadi alipewa Abrahamu na yeye ndiye aliyeipokea ahadi na uzao wake ukajakuwa kuwa Taifa kubwa, hivyo unaweza kuona usahihi wake
He never had two wives,Ishmael ni mtoto haramu.
Hivi waarabu ni watoto wa kabila lipi kati ya zile 12????
Many people, especially Christians, support Israel in this issue based on religious beliefs. But this is a very misguided and dangerous precedent. Because if you want to give Israel the land that had been inhabited by other people for thousands of years, based on the claim that they have returned to their land given to them by their god....then what about the Boers in South Africa who also claimed the same? What about Istanbul which was the centre of the Eastern (Orthodox) Christianity? What about the region of Catalonia in Spain which for 400 years was the seat of the Islamic empire? Imagine, if the Black Americans return today to Mali, Nigeria, Angola, DRC, Tanzania etc and claim these lands are theirs!
Are you going to return all these lands to their old, historical owners? But why then are you treating the Jews differently? These guys came mainly from Eastern Europe- Poland, Bulgaria, Romania- how sure are you about their Jewishness? Judaism used to be a religion, not a race. That means you do not have to be in Jerusalem to be Jewish. In fact, most of those who claim to be Jews today, like Netanyahu, have their origins in Khazaria- Georgia- and have nothing whatsoever to do with the Middleast. Be educated.
Tanzania did the right thing to vote against Trump. She voted for international legality (The UN and before it the League of the Nations, had ruled that nobody should appropriate lands belonging to others through acts of war. That's why, though the USA defeated Germany, it did not "annex" that country- as did Israel to a vast swathe of land). I am horrified at the ignorance and outright heartlessness of those who support Israel in this, despite the horrendous crimes that Israel is committing on daily basis on the children, the elderly and people of Palestine. Does your religion justify this, simply because the victim is not of your belief? Do you think your god is happy for this injustice? And who said the Jews have anything in common with the Christians? Didn't they kill your Jesus? I think Jesus would be seething with anger at you where he is! Do you think Jesus will be happy that you love those who killed him? Can't make any sense this one!
Huyu ni mbaguzi sana. Jews siyo lazima wawe kama wazungu. kuna black jews etc. sasa wanawabagua wengine na kuukumbatia uyahudi wa kizungu. dhahma yao inakuja
My friend you nailed it!
But some people think God is Jewish!. absurd!
Mbona Kaka unamulisha maneno mtumishi wa Mungu Nyabhera.Sasa bwana nyabhera anakomaa kwamba Abrahamu ndiyo mwanzilishi wa taifa la Israeli.
Wakati hiyo kazi ilifanywa na Joshua na Kalebu.....!!!!
Btw thank you for understanding my assertion........
Merry Christmas in advance.......
Mbona Kaka unamulisha maneno mtumishi wa Mungu Nyabhera.
Fact. Jerusalem shall be on Israel. Hapo wanasubiri ka Vita tu waichukua mazima.
Yao UN wanasemaga tu hawasaidiagi taifa mwenye hela za kuchezea Duniani ni America tu. Ndo anaweza kupoteA hata Matrion kufanya misheni zake za kimataifa.
Unaungwa mkono na Tz pia unashangilia wakati kula tu tabu.
Dunia kuna mataifa 11 tu Wengine ni makundi ya wenye njaaaaa (In Rungwe's voice) haya ndo mataifa ambayo vote zao huwa zinaifikirisha US.
1. US.
2. Russia.
3. China.
4. German
5. Japan
6. UK.
8.Canada
9. France
10. Australia
11. Saudia
Wengine hawanabajeti kabisa wakitaka kufanya international mission hufadhiliwa na US Via UN
Hata East hawakupewa na UN. 1967 chini ya Kamanda Moshe Dayan Waisrael Walitwaa Jerusalem yote. Koroho safi wakawapa Palestine hiyo West Jerusalem.Only Western Jerusalem, Forget about Eastern Jerusalem
Mkuu acha utani miaka kumi yaani 2027Mfalme wa kwanza wa israel ni Saul,
baada ya hapo mpiga zumari wa mfalme,yaani Daud wa kabila la yuda akajitenga na kutawadhwa na nabii samweli kuwa mfalme wa yuda,kisha akaanzisha vita,civil war na kumuua Saul,kisha mtoto wa saul akaapishwa kuwa mfalme wa israel,kisha tena Daud akamuua mtoto wa sauli na kujitangaza mfalme wa israel yote,United kingdom of israel,
Daud akamzaa suleiman,lakini seleman hakutakiwa kuwa mfalme,mtoto mkubwa wa Daud ndo alitaka awe mfalme,mamake selemani akacheza mpaka mwanae ndo akawa mfalme,
wakati wa seleman palitulia kidogo,lakini alipokufa tu,utawala ukaganyika na haukupata kuungana tena.
Eneo ilipo west bank ndo ilikuwepo judea,
tatizo hapa ni kuwa israel wanashindwa watawapeleka wapi wapalestina,wakitaka kuwaua wote hawawezi,
wakitaka kuwapa uraia,
tatizo wapalestina wanazaliana mno,waisrael wanaogopa watamezwa,
sasa wana opt kuwaua taratibuna kuwaweka mazingira magumu labda baada ya miaka 1000 watatoweka,na ni vigumu wapalestina nao ndo wanazaana sana kufidia wale wanaouawa,huku waisrael wakizaa kizungu kwa mpango,
sasa guesse baada ya miaka 200 hali itakuwaje,
japo waziri wa mambo ya nje wa zamani wa marekani ,Henry kissinger ambae pia ni myahudi,kanukuliwa akisema,israel haitakuwepo katika miaka 10 ijayo
Abraham did not form a nation BUT Jacob did, through his 12 sons that were called tribes. Bila shaka jibu hili litamsaidia asomapo.Do you know the meaning of a nation ???
How can a single man "Abraham" with two wives form a nation ???
Mkuu, kwenye Bible, Yakobo (Israel ) ndiye baba wa wana wa Israel ambao ni 12 na ndio waliounda taifa la Israeli kabla ya kugawanyika kuwa falme 2, ufalme wa Yuda na ufalme wa Israeli (Samaria ).I said founder.
Elungata, umeisoma wapi hiyo historia?Mfalme wa kwanza wa israel ni Saul,
baada ya hapo mpiga zumari wa mfalme,yaani Daud wa kabila la yuda akajitenga na kutawadhwa na nabii samweli kuwa mfalme wa yuda,kisha akaanzisha vita,civil war na kumuua Saul,kisha mtoto wa saul akaapishwa kuwa mfalme wa israel,kisha tena Daud akamuua mtoto wa sauli na kujitangaza mfalme wa israel yote,United kingdom of israel,
Daud akamzaa suleiman,lakini seleman hakutakiwa kuwa mfalme,mtoto mkubwa wa Daud ndo alitaka awe mfalme,mamake selemani akacheza mpaka mwanae ndo akawa mfalme,
wakati wa seleman palitulia kidogo,lakini alipokufa tu,utawala ukaganyika na haukupata kuungana tena.
Eneo ilipo west bank ndo ilikuwepo judea,
tatizo hapa ni kuwa israel wanashindwa watawapeleka wapi wapalestina,wakitaka kuwaua wote hawawezi,
wakitaka kuwapa uraia,
tatizo wapalestina wanazaliana mno,waisrael wanaogopa watamezwa,
sasa wana opt kuwaua taratibuna kuwaweka mazingira magumu labda baada ya miaka 1000 watatoweka,na ni vigumu wapalestina nao ndo wanazaana sana kufidia wale wanaouawa,huku waisrael wakizaa kizungu kwa mpango,
sasa guesse baada ya miaka 200 hali itakuwaje,
japo waziri wa mambo ya nje wa zamani wa marekani ,Henry kissinger ambae pia ni myahudi,kanukuliwa akisema,israel haitakuwepo katika miaka 10 ijayo
Co tu nation, mtu mmoja anaweza form ulimwengu mzima, kwani cc wote c tumetokana na Adam? Unashangaa Abraham kuform taifa! Tena co taifa tu, mungu alimuahidi atakua baba wa mataifa, we boya nn!Do you know the meaning of a nation ???
How can a single man "Abraham" with two wives form a nation ???
Abraham did not form a nation BUT Jacob did, through his 12 sons that were called tribes. Bila shaka jibu hili litamsaidia asomapo.
Vv