Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

matunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
442
Reaction score
426
FB_IMG_1513752549952.jpg
 
Nataman ungefafanua kidogo

Samaria ni makao makuu ya Ufalme wa Israel,
Wakati Yerusalemu ni makao makuu ya Ufalme wa Yuda.
Baada ya Mfalme Suleimani kufa Ufalme wa Israeli uligawanyika sehemu mbili.
Kaskazini makabila kumi ya Israel (Ufalme wa Israel) na Kusini makabila mawili ya Yuda na Benjamini (Ufalme wa Yuda)
 
What's difference between Jewish people and Israel?

Jews are citizens of the ancient Kingdom of Judea mainly composed by the tribes of Benjamin, Judah and A bit of Levis: While the Ancient Kingdom of Israel was composed of the ten tribes which were are now no where to be found.
Together Judea and Israel form what is called a Hebrew Community,,,,,,
 
Samaria ni makao makuu ya Ufalme wa Israel,
Wakati Yerusalemu ni makao makuu ya Ufalme wa Yuda.
Baada ya Mfalme Suleimani kufa Ufalme wa Israeli uligawanyika sehemu mbili.
Kaskazini makabila kumi ya Israel (Ufalme wa Israel) na Kusini makabila mawili ya Yuda na Benjamini (Ufalme wa Yuda)
Ufalme wa israel( yakobo) umegawanyika mara ngapi katika historia?
Waachieni wayahudi mji wao
 
Jews are citizens of the ancient Kingdom of Judea mainly composed by the tribes of Benjamin, Judah and A bit of Levis: While the Ancient Kingdom of Israel was composed of the ten tribes which were are now no where to be found.
Together Judea and Israel form what is called a Hebrew Community,,,,,,
Those 12 tribes were born by Jacob who was later named Israel.
 
Ufalme wa israel( yakobo) umegawanyika mara ngapi katika historia?
Waachieni wayahudi mji wao

Ufalme wa Israel haujawahi kuunganika katika historia,
Ni kipindi cha Suleimani tu ndiyo ulikuwa umekaa pamoja bila shurba zozote zile.
Kipindi cha Sauli uligawanyika na Kipindi cha Daudi Uligawanyika: Na hata kabla ya hapo kulikuwa hakuna ufalme.
 
Back
Top Bottom