Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,272
Biblia inamtaja Yerobohamu mwana wa Nebati mara kwa mara kama mfano wa “mfalme aliyefanya dhambi na kuwaongoza Israeli kutenda dhambi” — almost kila mfalme aliyefuata katika ufalme wa kaskazini (Israeli) alilinganishwa naye vibaya.
Ahabu (Mume wa Yezebeli) – 1 Wafalme 16:30-33
Ahabu ni mzito, anashindana na Yerobohamu kichwa kwa kichwa—huyu ni kama "Yerobohamu kwa turbo."Ahabu mwana wa Omri alitenda maovu machoni pa Bwana kuliko wote waliomtangulia."