Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
huko uko nje ya hiyo huduma ya 3.75G pole sana mkuu..
Na hapa Mjimwema Kigamboni ambako ni just 9km from the askari monument, are we out of the 3.75G coverage?
Because for very long time now EDGE has become our only true friend!
Wana JF kwa wale wanaotumia net ya Airtel, niliambiwa toka wafunge mtambo wao wa 3.75G net yao imekuwa slow kuliko maelezo. Nikasema ngoja nijaribu, ni kweli iko slow sana, inakamata EDGE tu hapa kwangu Kunduchi
Je, kuna wengine waliokutana na hili tatizo?
Kwa kweli Airtel wanaumiza watu sasa, bora waondoe huo mtambo wao unakera sasa, Kunduchi na Mjimwema tuko nje ya 3.75G coverage?
Wana JF kwa wale wanaotumia net ya Airtel, niliambiwa toka wafunge mtambo wao wa 3.75G net yao imekuwa slow kuliko maelezo. Nikasema ngoja nijaribu, ni kweli iko slow sana, inakamata EDGE tu hapa kwangu Kunduchi
Je, kuna wengine waliokutana na hili tatizo?
tegemeana na Bundle uliyonunua, kama unapenda vya bure ukinunua Time Base Bundle(Malipo kwa Muda) maana yake ukimaliza ile bundle yako muda wote unaobakia unabrowse bure lakini speed limit ni 64Kbps ..... Nakushauri utumie VOLUME BASE BUNDLE (Malipo kwa Kifurushi) ambazo ukimaliza ukiwa ndani na nje ya bundle speed ni maximum