I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,628 Reaction score 5,425 Apr 4, 2021 #1 Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
Franky Samuel JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 5,465 Reaction score 14,608 Apr 4, 2021 #2 Tanzania wasanii wengi wameficha viwango vyao vya pesa wanavyomiliki tofaut na nchi za wenzetu