Hata dereva wa magari makubwa humpati kwa mshahara huo. Bora niendelee kujiajiri mwenyewe tu, kwanza sikutani na PAYE zao, hapo bado hujakatwa michango ya vyama vya wafanyakazi, hujakopa wakukate nk.kwa siku ni 32,000/-
kitu kinachouma wafanyakazi wengi ni huyu jamaa anaitwa PAYEE. ni hatari 30% ya kipato chako unalipa kodi na mbaya zaidi kiasi cha 60% cha mshahara wako unaobakia baada ya kukatwa hifadhi za jamii 10%, bado tena utalipa tena kodi kwenye bidhaa zingine.Hata dereva wa magari makubwa humpati kwa mshahara huo. Bora niendelee kujiajiri mwenyewe tu, kwanza sikutani na PAYE zao, hapo bado hujakatwa michango ya vyama vya wafanyakazi, hujakopa wakukate nk.
Ukijiajiri mwenyewe TRA mnakutana nao maramoja kwa mwaka, muajiriwa kila mwezi TRA wanahemea mgongoni ukijumlisha kwa miezi 12 muajiriwa anajikuta analipa kodi hata mara kumi ya mwenye duka kubwa Kariakoo.
Mkuu inatosha ukiongea hivyo utazidi kuumiza watu humu ndani.kitu kinachouma wafanyakazi wengi ni huyu jamaa anaitwa PAYEE. ni hatari 30% ya kipato chako unalipa kodi na mbaya zaidi kiasi cha 60% cha mshahara wako unaobakia baada ya kukatwa hifadhi za jamii 10%, bado tena utalipa tena kodi kwenye bidhaa zingine.
Hapo bado haujakatwa,take home itakuwa ya kawaida sana.
Net Pay (take home) means total pay minus deductions.
kwa siku ni 32,000/-
Mkuu inatosha ukiongea hivyo utazidi kuumiza watu humu ndani.
Duh 32,000 kwa siku na una degree? Heri kupiga box tu na form 4 yangu ya 31. Hiyo 32,000 ni kwa dakika 60
Kwa mwaka ni 11,520,000/= ukijiajiri kwa kulima vitunguu eka 4 na mahindi eka 5 unaingiza zaidi ya 16m kwa mwaka
Net pay na take hme zna maana sawa! Yaan hapo umeshakatwa makorokoro yte wew unabeba unasepa!
Sio kwel usipotoshe wenzako kwa kitu usichokijua PAYE sio 30%.bal corporate tax ndio 30% na inalipwa kwenye faida tu endapo company imepata faida! So usiwaogopeshe wenzako kwamba PAYE ni kias kikubwa namna hyo!
Hapo bado haujakatwa,take home itakuwa ya kawaida sana.