Dah sio haba jaman,hongo vp zitakuwepo?namuaminia sana dogo mmoja mtihani atafaulu lakini sasa hana refa atapata kweli?ooh God help her,na mtakaojua oral itakuwa lini mtuambie ili tujue kama ameshatemwa au la
hili ni la ukweli kabisa, mimi hata wakinipa kazi ya kufagia ofisi zao najua nitamaliza mapema, then nianze kula dili la kusogeza sogeza documents - au hata kuwa -introduce watu wenye shida za mizigo kwa maboss najua nikirudi jioni sikosi ka 50,000/=